Nina nuksi au nini jamani? Mbona sielewi?! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nina nuksi au nini jamani? Mbona sielewi?!

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Tugutuke, May 19, 2012.

 1. Tugutuke

  Tugutuke JF-Expert Member

  #1
  May 19, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 495
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Hii itakuwa ni thread ya 4 naweka hapa kwa ajili ya Masuala ya kazi.
  Mara ya kwanza niliomba kufanya kazi ya Utangazaji japo nilisema sijausomea popote pale,ila nina kipaji na najiamini kwa hilo. Akatokea jamaa humu humu akanitumia mfano wa taari ya habari akisema nijirekod afu nimtumie hiyo sauti,mara akaingia mitini.
  Mara ya pili nikaomba jamani nielekezwe sehemu ya kazi za jeshi au Ulinzi basi nikaambulia kuomba Jkt na Magereza. Wakati nafuatilia dili za Jkt juz juz tu mara tukaanza kupigwa zengwe kibao! Wakala buku 10 zangu eti kwa ajili ya kuchukua vipimo vya afya tayari kwa kujiunga na Jkt,mara ajira ikaota mbawa. Kurudi magereza mara wakasema wameshafanya intavyuu so mimi ckuwepo nako nikakosa.
  Mara ya tatu,nikaona basi kwa kuwa huko kote nshakosa. Ngoja nitangaze niombe kazi yoyote hapa mjini[dar]to mention a few nikataja kama kuuza duka,butchery,kazi za ofcn kama usekeretary hv,au viwandani kwenye firm Industry na NGO's labda. Mara hapo nikapigiwa cm na jamaa kaniambia atanitafuta kesho,lakini hadi leo[wiki imepita sasa] sijamwona na hata nikim text anapotezea.
  Mara ya nne ndo hii sasa.; JAMANI NADHANI MMEONA JINSI NILIVYO 'HASO' NATAFUTA KAZI YOYOTE HAPA MJINI. Nimechoka kukaa Idle home na kijiweni. Ningejiajiri lakini hela na mtaji sina. Wengine tunajua kweli the basic life of individual family. Basi kama yeyote mwenye hurumu na ana nia ya kuajiri naomba tuongee angalau na mimi nipate namna ya kujiendesha mjini hapa. Hakuna kitu kibaya kuomba kila siku mia ya kula. Hata kama ni ndugu,atakupa ila masimango juu yake. So kwa yeyote atakayeguswa. Please tuwasiliane through 0718651174 au 0768252589. UBARIKIWE
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  May 19, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Una elimu gani?
   
 3. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #3
  May 19, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  pole kuwa mvumilivu,....
   
 4. Tugutuke

  Tugutuke JF-Expert Member

  #4
  May 19, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 495
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  nina elimu ya sekondari tu!!
   
 5. Tugutuke

  Tugutuke JF-Expert Member

  #5
  May 19, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 495
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  thanx Jestina. Ila nimevumilia sana aisee.
   
 6. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #6
  May 19, 2012
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  kaza buti punye nia panya njia....
   
 7. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #7
  May 19, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  pole sana dogo, najua machungu uliyonayo...nakushauri pita mtaa kwa mtaa na usione aibu kuongea na watu..naamini utafanikiwa.
   
 8. n

  ngoshas JF-Expert Member

  #8
  May 19, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 710
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Una nguvu ya kulima nikupe shamba?
   
 9. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #9
  May 19, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  nasubir jibu
   
 10. Tugutuke

  Tugutuke JF-Expert Member

  #10
  May 19, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 495
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  duh!! Nguvu za kulima ninazo tena sana tu. Tatizo mpaka nilime nivune ntakuwa naishije kipind hicho chote??
   
 11. Tugutuke

  Tugutuke JF-Expert Member

  #11
  May 19, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 495
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Natamani nimwendee Mustapha Sabodo anipe mtaji nijiajiri,make naona anatoa msaada sana huyu jamaa! I real wish to contact with him.
   
 12. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #12
  May 19, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  mh mawazo yako utata mtupu....watu wa aina hiyo huwa wanatoa pesa ili wapate umaarufu.
   
 13. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #13
  May 19, 2012
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Dah! M2 wangu muombe Mungu 2 akusaidie sio bin adam atakutesa baadaye.....utajuta kwanini alikusaidia.
   
 14. wiseboy

  wiseboy JF-Expert Member

  #14
  May 19, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,709
  Likes Received: 1,891
  Trophy Points: 280
  Najua jinsi unavyofeel.. hata mm mwenzako nilipitia hiyo stage, nakushauri dar ni sehemu ngumu kiajira kwa sasa, badili mji...niliona arusha angalau ni simple kupata kazi.
   
 15. N

  Natafuta kazi Member

  #15
  May 19, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kumbe sipo peke yangu. kwakweli aliye au ambaye amepitia kwenye kipindi hiki ndo anajua how it feels.
   
 16. a

  achilles Senior Member

  #16
  May 20, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  things happen by fate and not our own free-will.muamini mungu siku zote
   
 17. Benny EM

  Benny EM JF-Expert Member

  #17
  May 20, 2012
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 505
  Likes Received: 325
  Trophy Points: 80
  Pole kijana,ila kuwa mvumilivu,hay ni mapito ya kufikia mafanikio..mi mwenywe naelimu yangu lkn kitaa hakieleweki.
   
 18. S

  Sabina78 Member

  #18
  May 20, 2012
  Joined: May 20, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama una nia ya kufanya kazi ya ulinzi watafute KK SECURITY, wanalipa vizuri. Hapo Dar sijajua ofisi zao ziko sehem gani, ila we ulizia utawapata. Wanachukua kuanzia Form Four. Fanya hvyo can be a starting point to your success
   
 19. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #19
  May 20, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  pole sana tuko wengi lakini hatujuani na tunakufa tai zetu shingoni.
   
 20. Tugutuke

  Tugutuke JF-Expert Member

  #20
  May 21, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 495
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  we acha tu! Inauma na inaumiza! Ila ipo siku nitapata tu,nina matumaini.
   
Loading...