Chance ndoto
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 3,134
- 7,539
Mwanaume hauna haja ya kuogopaHabari za jioni wana JF. A true story inayohitaji msaada kutoka kwa rafiki yangu wa karibu, Yeye tayari ana mtoto wa miaka miwili lakini hayupo pamoja na Mama mtoto wake. Sasa yupo kwenye mahusiano ambayo conclusion yake ni Ndoa na ni ndani ya mwaka huu 2024.
Naomba tumshauri, anatakiwa afanye nini kumueleza huyu Mwanamke kwamba tayari yeye ana mtoto wa miaka miwili, ili isilete shida. Huwa inakuaje? Kwa wazoefu.
Ningetamani mawazo ya pande zoote mbili. Na kataa ndoa tutulie.
Kwa nini hamuoi mama mtoto wake?Habari za jioni wana JF. A true story inayohitaji msaada kutoka kwa rafiki yangu wa karibu, Yeye tayari ana mtoto wa miaka miwili lakini hayupo pamoja na Mama mtoto wake. Sasa yupo kwenye mahusiano ambayo conclusion yake ni Ndoa na ni ndani ya mwaka huu 2024.
Naomba tumshauri, anatakiwa afanye nini kumueleza huyu Mwanamke kwamba tayari yeye ana mtoto wa miaka miwili, ili isilete shida. Huwa inakuaje? Kwa wazoefu.
Ningetamani mawazo ya pande zoote mbili. Na kataa ndoa tutulie.
Hakuna cha kuogopa hapo, aeleze tu ukweli.Habari za jioni wana JF. A true story inayohitaji msaada kutoka kwa rafiki yangu wa karibu, Yeye tayari ana mtoto wa miaka miwili lakini hayupo pamoja na Mama mtoto wake. Sasa yupo kwenye mahusiano ambayo conclusion yake ni Ndoa na ni ndani ya mwaka huu 2024.
Naomba tumshauri, anatakiwa afanye nini kumueleza huyu Mwanamke kwamba tayari yeye ana mtoto wa miaka miwili, ili isilete shida. Huwa inakuaje? Kwa wazoefu.
Ningetamani mawazo ya pande zoote mbili. Na kataa ndoa tutulie.
Natamani kukujibu Kwa niaba !Au basiKwa nini hamuoi mama mtoto wake?
Anamuachia nani?
Akijibu haya maswali nitamshsuri Nini Cha kufanya
Mngemwambia aache kuzinzika asubiri ndoa.Asingwasikiliza.Wakati anazini mpaka mtoto anapatikana mbona hakutushirikisha?
Single mazaKwa nini hamuoi mama mtoto wake?
Anamuachia nani?
Akijibu haya maswali nitamshsuri Nini Cha kufanya
Hivi mtu anashindwa nini hapa hadi uombe ushauli just tell the truth kwamba mimi nina mtoto na tutatakiwa kuishi nae then mwache yeye aamue kukubali au kukataa na hana haja ya kupingana na maamuzi yekeMwanaume hauna haja ya kuogopa
Act like a Man
Be like a Man
Be a Gentleman
Kwa Sasa ni hayo mkuu yatafakari
Mwambie aache ujinga, huyo kid hana kwao zaidi ya hapo kwake, on top of that.... mtoto alipatikana kabla ya hiyo ndoano..🤨Habari za jioni wana JF. A true story inayohitaji msaada kutoka kwa rafiki yangu wa karibu, Yeye tayari ana mtoto wa miaka miwili lakini hayupo pamoja na Mama mtoto wake. Sasa yupo kwenye mahusiano ambayo conclusion yake ni Ndoa na ni ndani ya mwaka huu 2024.
Naomba tumshauri, anatakiwa afanye nini kumueleza huyu Mwanamke kwamba tayari yeye ana mtoto wa miaka miwili, ili isilete shida. Huwa inakuaje? Kwa wazoefu.
Ningetamani mawazo ya pande zoote mbili. Na kataa ndoa tutulie.
Sasa unaficha mtoto kwa nini?Habari za jioni wana JF. A true story inayohitaji msaada kutoka kwa rafiki yangu wa karibu, Yeye tayari ana mtoto wa miaka miwili lakini hayupo pamoja na Mama mtoto wake. Sasa yupo kwenye mahusiano ambayo conclusion yake ni Ndoa na ni ndani ya mwaka huu 2024.
Naomba tumshauri, anatakiwa afanye nini kumueleza huyu Mwanamke kwamba tayari yeye ana mtoto wa miaka miwili, ili isilete shida. Huwa inakuaje? Kwa wazoefu.
Ningetamani mawazo ya pande zoote mbili. Na kataa ndoa tutulie.
Mwambie aoe huyo aliyezaa nae. Huu ni ujinga sasa, anazaa anamwacha mwenzie anaenda kuoa pengine alaa. Ndio maana wazee huchachamaa sana binti yao akitiwa mimba.Habari za jioni wana JF. A true story inayohitaji msaada kutoka kwa rafiki yangu wa karibu, Yeye tayari ana mtoto wa miaka miwili lakini hayupo pamoja na Mama mtoto wake. Sasa yupo kwenye mahusiano ambayo conclusion yake ni Ndoa na ni ndani ya mwaka huu 2024.