Nina mtaji wa Tsh. 50,000/= naomba wazo la biashara kwa Dar es Salaam

Mkuu ingia k.koo nunua mifuko hii ya plastic uza Kule Kule
Au nunua mikanda ya kuvaa wanaume uza Kule Kule au nunua maji kwa carton uza Kule Kule ...ukikomaa kwa mwez utakua umetengeneza pesa nzuri tuu mkuu
Excellent yaani napenda mtu anavotoa wazo la biashara alafu anatoa na location, This is very lucrative. Mfano Kariako auze maji lazima atoboe.
 
Uuze machungwa 400 wakati mpo msururu wa wauzaji
Machungwa 400 unaweza kuuza lakini sasa sio kila siku na kijiwe chako kiwe kimechangamka imagine upate wateja 5 wa kununua machungwa matano kila mtu means 5×5 = 25 😅 machungwa unaeza uza 100 au 80 mwisho na bado ukawa na hiyo 20000. 200x100=20,000
 
Excellent yaani napenda mtu anavotoa wazo la biashara alafu anatoa na location, This is very lucrative. Mfano Kariako auze maji lazima atoboe.
For sure mkuu ... Kule akikomaa atatoboa ..afu faida nyingine ni kuwa Kule atakutana na wenzake wenye mitaji hiyo wengi ataanza kupata connection mbali mbali ...Kule Kule
 
Tafuta zile karanga nene, kazichomeshe vizuri bekari (bakery) usichome kwa mchanga na chungu...hlf funga vifuko vya saizi vya plastic uza kwa jero au mia 3 kila kifuko....hlf tafuta kijiwe chenye njia ambayo watu wanapita na kupituka mara kw mara yaani hawakauki...baada ya mwezi watu kukuzoea utakuja kuleta mrejesho chanya hapa...note, njugu zako usipunje tia kiasi cha kuwavutia wateja walau kwa kipindi cha mwanzo wakt unatambulisha bidhaa yako...na njugu hizi ni plain usitie yai wala kitu chochote.ila hakikisha tu zinachomwa vizuri hlf ziwe zile mbegu nene sio ndogo ndogo.
 
Nunua tray 2 za mayai,chemsha, nunua chumvi pakiti1,na pilipili,nunua maji makubwa litre 5 na raba na kofia.Nafikiri umenielewa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom