Nina mtaji wa Tsh. 50,000/= naomba wazo la biashara kwa Dar es Salaam

Sweetcorn ndio zipoje?

IMG_3735.jpg

Haka ni ka next project nakatafutia muda
 
Yanauziwa mtaani manake bei yake ni sawa tu na haya mengine

Itakusumbua kwa mwanzoni ila mtu akishaonja atachukia yale ya kawaida
Hahahha yana sukari nini? Heheh itabidi unielekeze chimbo nikachukue niyatesti
 
Mara ya mwisho nimeona yanauzwa Tegeta
Nadhani hata Kisutu yapo

Kwa mimi naingia front naleta mzigo mpaka kwa mtafunaji,
Unafungua vijiwe vya kuyachomelea au unavuna mashamban na kuyaleta mawasiliano pale? Kuna chimbo la wakulima napo!
 
Mkuu ingia k.koo nunua mifuko hii ya plastic uza Kule Kule
Au nunua mikanda ya kuvaa wanaume uza Kule Kule au nunua maji kwa carton uza Kule Kule ...ukikomaa kwa mwez utakua umetengeneza pesa nzuri tuu mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom