Mkuu nenda ifakara kanunue mpunga na baadae uuze mchele coz mwaka huu mpunga umeanza kupanda kwa kasi sana....hivi sasa kwa mjini ifakara gunia 80000 huku bei ya shamba 60000 hivyo basi uwezekano wa kufika gunia laki moja mpk laki na ishirini upo mkubwa sana hapo bado hujakoboa kuja mchele ndio utapata faida kooooooooooh!!!mimi nipo huku