Nina mpango wa kuhamia Morogoro kwa nia ya kutafuta maisha

Nimeelewa km unataka kulima..kulima kwa 2.5 ni bora ubaki unalala...! na ukijimix ati ulime mboga mboga utajikuta unazila mwenyrw..mambo sio km 2015 veggies ilikua hot...!
Ni kweli kilimo bila mtaji wa kutosha kinaleta usumbufu mno.

Sasa manengelo kwa hiyo hela ya mtaji una mshauri afanye kitu gani haswaa
 
Wakuu nia yangu hasa n kwenda kupiga ishu ya kununua mpunga then nakoboa na kuuza mchele ila kwasababu sina uzoefu na hio biashara nitaenda kulima heka 1 huku nikisoma hio biz ya mpunga 2 mchele inaendaje ili niweze kuanza,,,
 
Ni kweli kilimo bila mtaji wa kutosha kinaleta usumbufu mno.

Sasa manengelo kwa hiyo hela ya mtaji una mshauri afanye kitu gani haswaa

Sema hata kukusanya mchele siku hiz haupandi km zaman..hukuti sasa hv mchele wa 2300 sokoni..unajikuta unahangaikia sh 200@! unajua hata km una 5m kama huna akili ya kujiongeza unaweza jikuta inaishia tu...shida inakuja hapo...!
 
Mpe ramani hapo namba 9,maana kwa 2.5m anaweza kufanya kitu.
 
Sema hata kukusanya mchele siku hiz haupandi km zaman..hukuti sasa hv mchele wa 2300 sokoni..unajikuta unahangaikia sh 200@! unajua hata km una 5m kama huna akili ya kujiongeza unaweza jikuta inaishia tu...shida inakuja hapo...!
Ckufichi unanifrahsha sana my friend sasa kila nikigusia business tofaut unasepa haipandi,,, naomba utupe idea basi ambayo unaona inafaa u r soo amazing
 
Ni kweli kilimo bila mtaji wa kutosha kinaleta usumbufu mno.
Sasa manengelo kwa hiyo hela ya mtaji una mshauri afanye kitu gani haswaa
Sema hata kukusanya mchele siku hiz haupandi km zaman..hukuti sasa hv mchele wa 2300 sokoni..unajikuta unahangaikia sh 200@! unajua hata km una 5m kama huna akili ya kujiongeza unaweza jikuta inaishia tu...shida inakuja hapo...!
Ckufichi unanifrahsha sana my friend sasa kila nikigusia business tofaut unasepa haipandi,,, naomba utupe idea basi ambayo unaona inafaa u r soo amazing

😂😂 Wala sikupangii cha kufanya my dear...wwfanya unachopenda..usinisikilize mm mfa maji
 
Kwa nini usiwekeze huko huko Mwanga Kilimanjaro ambako kimsingi mazingira yake umeshayazoea?

Morogoro ni moja ya mikoa mikubwa nchini mwetu, hivyo ungekua pia specific, unataka ukaishi wilaya gani? Moro mjini, vijijini, Kilombero, Mvomero, Turiani, Kilosa, Ulanga, Malinyi, nk.
Mkuu inaonekana wewe mzoefu wa mji wa Moro jamaa kaomba muongozo embu muongoze.
 
Kwaiyo biashara gani ahueni wakati huu maana kila biashara naona kauri za mungu saidia mpaka sometimes nasema nikipata iyo ajira serikalini nitaitunza hadi na stafu maana mmh.
M naona cha muhimu ni kwenda field tu mkuu kupambana na changamoto halic kuliko kukutana na changamoto za jf na huku changamoto za shamba pia zinakuhusu
 
Kwaiyo biashara gani ahueni wakati huu maana kila biashara naona kauri za mungu saidia mpaka sometimes nasema nikipata iyo ajira serikalini nitaitunza hadi na stafu maana mmh.

Jaribu yyt ile...!unayoipenda ww..nadhan ndo huwa mwanzo mzuri...!ingawa hakuna biashara isiyo na changamoto
 
Hebu mshike dogo tena ww ndo uko huko
Ana utajiri wa karibu gram 26 aanze mdogo mdogo: naamini kila akipileka dar atakuwa hakosi walau 150k. Kwa mwezi akienda round 4
atakosa kweli total ya laki 6. Take home ya mtu wa mshahara wa laki 9 serikalini.

Uko kwako panamfaa sana atakuza mtaji haraka akiwa makini; ndondo si chururu.
 
😅😅😅 Biashara ya kununua dhahabu inachangamoto lukuki mie nimestop kwasasa.
 
Back
Top Bottom