Renegade
JF-Expert Member
- Mar 18, 2009
- 7,126
- 6,764
Mkuu usisahau kuwa uthibiti wa uimara ni muhimu sana kwa majengo ya watu wengi kama kanisa na hasa ghorofa, hatuombei mabaya kwa kanisa, laknini kwa jengo la ghorofa kufuata maelekezo ni muhimu sanaSisi kuna sehemu tulimpa ramani ya ujenz wa kanisa, mafund wote waliotangulia kuanzia vifaa mpaka ujenz ni zaidi ya 30ml, hiyo ilkuwa kusimamisha nguzo 30 za jengi n.k
Kutoka kwake yeye, mambo yafuatayo akaanza kutueleza.
1. Raman inasema kila nguzo ni nondo 6 za 16mm, ila yeye ametuambia kwa ghorofa moja tu inayobeba watu 50 mpaka 70 na wingi wa nguzo, kila nguzo nondo 4 za 16mm zinatosha sana.
2. Mainjinia wanaweka mambo mengi ktk raman ili kusaidia kupatikana kwa kibali cha ujenzi.
3. Mafundi walipendekeza zile kokoto nyeusi, ila yeye akatuambia tutafute zile kokoto ambazo ni jiwe, na kweli tulizipata uko mbutu kwa 700k kipind kile, ile Mende Scania.
Mambo ni mengi sana, sio rahisi kuyaandika yote kupitia siimu.