Nina milioni 20 nataka kujenga nyumba ya vyumba 3 Dar es Salaam. Naweza fikia hatua gani?

Mkuu 20m ni kubwa,hapo unajenga na finishing unafanya freshi kabisa,yani unaingia imekamilika kabisa.

Kwa nyumba ya kawaida ,yani ukubwa wa kawaida
1.Tofali ni 3000 (inaweza ongezeka lkn kidogo sana) ukikadiria
- gharama 3m kama utanunua ila ukifyatua gharama itapungua

2.bati ni 100 (inaweza ongezeka au kupungua lkn sio sana)
-gharama inacheza 2m-2.4 hapa ni msouth maana zinauzwa ef24 reja reja lkn fata kiwandani jumla inapungua

3.mbao za kupaua hazizid 150
-Gharama kadiria 2m
4.fundi wajenge kwa tofali gharama inapungua,
-Gharama weka 1.2 m hapo ya fundi

Hivyo ndio vitu vya msingi katika ujenzi huu wa kawaida wa kina sio life la hapa na pale

Mambo ya madirisha na milango huo ni uchaguzi sasa ila tofal ,mbao na fundi lazima
 
Shukran saana Mkuu
 
Hatua utakayofikia inategemea na aina ya nyumba unayoitaka.
3 bedrooms ni too general. Kuna 2 bedroom houses zipo expensive kuliko 6 bedroom houses.
Yaani swali ni too general.
yupo generally sana.nyumba ina finishibg ndio hufanya agaharama kuwa kubwa.ukaianza ukaweka linta ya chin nondo nne na dmp mpka kupanda tayar mil 6.ukifubga lenta ya juu kupaua alaf inakula mil 8 jumla mil 16. ukataka kuweka zile raedy made door steel za waisrael mlango mmoj huo huhitaj greel mil 7 mlango mmoja.
kwa hi nyunba ni finishing
 
Habari wadau! Naomba kuuliza ukiwa na TZS 20 Milioni na unataka kujenga nyumba ya Vyumba 3 na Master unaweza kuanza na kufika hatua Gani?

Ntashukuru kama mtanipa estimate za kila hatua

Asantee
Ndiyo unaweza au niseme inawezekana kabisa, ila tujulishe kama una kiwanja then tuje tukueleze. Na kama una kiwanja, kiko wapi hapa DAR?
 
Hatua utakayofikia inategemea na aina ya nyumba unayoitaka.
3 bedrooms ni too general. Kuna 2 bedroom houses zipo expensive kuliko 6 bedroom houses.
Yaani swali ni too general.
@Kobello kujifanya Kobe Bryan, in maana ni kweli kuwa hujang'amua mshikaji anataka nyumba ya namna gani kweli?
 
Kuna watu mnachekesha humu....mlango wa 7m ni wakuzungumzia kwa watu waliodunduliza 20m? Acheni mambo ya ajabu watu tumeona Hadi water tap 10m lakini huwezi kuzungumzia kwenye nyuzi kama hizi.
yupo generally sana.nyumba ina finishibg ndio hufanya agaharama kuwa kubwa.ukaianza ukaweka linta ya chin nondo nne na dmp mpka kupanda tayar mil 6.ukifubga lenta ya juu kupaua alaf inakula mil 8 jumla mil 16. ukataka kuweka zile raedy made door steel za waisrael mlango mmoj huo huhitaj greel mil 7 mlango mmoja.
kwa hi nyunba ni finishing
 
@Kobello kujifanya Kobe Bryan, in maana ni kweli kuwa hujang'amua mshikaji anataka nyumba ya namna gani kweli?
Wewe uling'amua kabla hajafunguka zaidi?
Mbona mwenyewe kafunguka zaidi? Binadamu hatufanani na pia usipende kuishi kwa dhana kwamba eti nyumba ya vyumba vitatu inaeleweka ipoje.
Kwa mfano nina uhakika suruali zako ni kadeti na zina marinda (celebration), na viatu unavyopenda ni mocassin za bluu au kijani.
 
Nna fund ana bei za kawaida mno, labda nikupatie mawasiliano yake, yeye atakupa ushaur mzuri.

Mafund wa kisasa watakwambia mpaka kokoto ununue zile nyeusi wakat kokoto jiwe zipo kibao kigamboni, mara cement mifuko kibaoo, mafundi wenye uzoefu ni wazuri mno.
Mkuu naomba mawasiliano ya huyo Fundi
 
Habari wadau! Naomba kuuliza ukiwa na TZS 20 Milioni na unataka kujenga nyumba ya Vyumba 3 na Master unaweza kuanza na kufika hatua Gani?

Ntashukuru kama mtanipa estimate za kila hatua

Asantee
Kama una kiwanja tayari unaweza imaliza ila finishing haitakamilika kila kitu ila itakalika
 
Inategemea na size ya ramani yako, ukubwa wa vyumba na sebule but kwa Dar pesa nyingi itakwenda kwenye MSINI, msingi utakugharimu zaidi kuliko BOMA cause ujenzi wa Dar msingi wanalaza tofari but kwa mkoani hiyo pesa inaweza hadi kupiga bati, bati ziwe zile za kawaida but gauge 28 ingawa hutuweza kuhamia cause itakua finishing bado and may be madirisha na milango yatakua bado kukamilika.
 
Habari wadau! Naomba kuuliza ukiwa na TZS 20 Milioni na unataka kujenga nyumba ya Vyumba 3 na Master unaweza kuanza na kufika hatua Gani?

Ntashukuru kama mtanipa estimate za kila hatua

Asantee
utafunga renta - baada ya rinta utahitaji tena kama 20m nyingine kufunika - baada ya hapo ndipo utapambana na milango, vyoo na fittings zingine ambapo utahitaji tena 20m nyininge...

kifupi anza ila ujue una deni la 40m kama unahitaji kujenga nyumba na si banda.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom