Nina miaka 43 na nimeshajenga, tatizo ni gari

Usijivunie vitu hivyi ndugu, vyote hivyo vinapita, waza kuutafuta ufalme wa Mungu na haki yake na mengineyo hayo yatakuja!! Yesu alikuja akafa msalabani kwa ajili yako, damu yake hakuimwaga Bure kumbuka hilo, jehannum ya moto ipo na mbingu ipo, na ipo siku utatoa hesabu ulifanya nini duniani!!! Kila iitwapo leo siku ile inakaribia, kifo kipo karibu sana ndugu, mwamini Yesu akuokoe !!
 
Wakuu wangu habari zenu.

Ama baada ya kiwasabahi title inajieleza, hata watoto wanasema mama/bana nunua gari.

Kiukweli shida kubwa kwangu ni usafiri uwezo wa kununua ninao, ada nalipa mamilioni, tatizo ni woga kuingia road.

Woga mwingine ni mahuruma. Mimi nina mahuruma sana, nikikuta mtu njian sidhan kama naweza mpita, lazima nimbebe/nitampalift, tatizo linakuja nitaangalia na magonjwa.

Wakuu mnaelewa ukiwa kwenye usafiri ni rahisi sana kumegwa au kumega.

Ilishanitokea kimasihara nikamega/nikamegwa.

Sipendi ama uwe me au ke mwanaume au mwanamke utamegeka tu usafiri binafsi inasiri hii.

Usafiri kwangu ni priority kwa kweli
hilo ni pepo
 
Naomba kujua jisnisa yako.
 
Umemegwa na kumega??
So we ni mchelemchele?
Wakuu wangu habari zenu.

Ama baada ya kiwasabahi title inajieleza, hata watoto wanasema mama/bana nunua gari.

Kiukweli shida kubwa kwangu ni usafiri uwezo wa kununua ninao, ada nalipa mamilioni, tatizo ni woga kuingia road.

Woga mwingine ni mahuruma. Mimi nina mahuruma sana, nikikuta mtu njian sidhan kama naweza mpita, lazima nimbebe/nitampalift, tatizo linakuja nitaangalia na magonjwa.

Wakuu mnaelewa ukiwa kwenye usafiri ni rahisi sana kumegwa au kumega.

Ilishanitokea kimasihara nikamega/nikamegwa.

Sipendi ama uwe me au ke mwanaume au mwanamke utamegeka tu usafiri binafsi inasiri hii.

Usafiri kwangu ni priority kwa kweli
 
Siku hizi maeneo mtu anayoishi nacho ni kigezo cha namna yake ya kufikiri.huyu jamaa kwa mparange,manyanya kunamhusu.
 
Back
Top Bottom