Nina miaka 30 bado bikira, naomba ushauri

Unanuka sana mdomo na viatu ndo maana tulikukimbia.
 
Tatizo nyie wanasheria wengi wenu mnakuaga watu wa ligi sana,ubishi mwingi mademu hawapendi mambo ya namna hiyo wanapenda kulelewa
 
Mwanasheria, ni wakili wa kujitegemea?
Una Tembo Card Mastercard?
Hali ya maumbile yako yapoje? Usije ukawa unaina aibu kuwavulia nguo hao unao kutana nao. Wapo wanaume huwa hata kuoga mtoni na wanaume wenzao hawavui!
 
Duh kaka pole sana. Mi hata cna cha kukushaur ila nlitaka kukupa pole tu coz naona watu wala hawana mpango kukupa ushauri zaid ya kuendelea kukuumiza tu. May b kwa vile umetaja uana sheria.
 
Yaani kaka angu umezubaa sana tafuta tu mchumba uoe ushachelewa kutesttest
 
Mzuka sana mwanangu, koma hivyo hivyo mpaka umpate wa kuoa, ucje kuonja kabla hujaoa.
 
Wanasheria vijana wengi mnaringa.
 
Toka 2011? Huenda akawa ana mtoto/ watoto now
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…