Vera ginger
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 1,462
- 1,919
Aisee pole sana
Jikite kusali ili Mungu akupe amani ndani yako
Jikite kusali ili Mungu akupe amani ndani yako
Pole changamoto za familia pigana nazo usishindweKiufupi tu,mke wangu kipenzi nimeishi nae zaidi ya miaka 5,kaamua kusikiliza wazazi wake na kufuata wanavyotaka wao,uvumilivu umenishinda imenibid kuvunja familia hii,tuna watoto wawili kila nikiwaza kutengana nao nabaki naumia sana,maamuzi niliyokua nimefikia mungu ndo anajua,nateseka sana ndugu zangu nikija kutulia nitaleta mkasa mzima hapa na wengine wenye situation ngumu mpate kujifunza chochote