Dannis
JF-Expert Member
- Jan 21, 2016
- 1,603
- 1,757
Huyu jamaa itakuwa mifuko yake imetoboka, siyo bure...Pole Mkuu. Na siku zote ndoa ikishaingiliwa na Wakwe kwa upande wowote lazima kuwe na mawili kuijenga au kuibomoa.
Maana unakuta kama ni Mume au Mke hawezi fanya kitu hasa kinachousu familia yake bila kushirikisha wazazi wake.