Nina mashine kubwa ya umwagiliaji....jd wp 40

Nina mashine kubwa ya umwagiliaji....jd wp 40

Replies

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
1,497
Reaction score
453
Hamjambo wadau mi mkazi wa Moro na Dar pia huwa nakuwepo wakati flani flani,Nina mashine kubwa sana kwa ajili ya shughuli za irrigation,nina shamba pia ila natafuta partner mwenye working capital tufanye kazi kwa makubaliano....aliyeko tayari ani PM kwa mazungumzo zaidi,Mimi ni Mdau wa Kilimo kwanza

Asante ImageUploadedByJamiiForums1394263453.032475.jpg


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Shamb lipo sehemu gani moro nani eka ngapi?je hapo maji niyamsimu au? Nakabla yhapo ulikuwa unalima nn kwnye hyo shamba
 
Shamb lipo sehemu gani moro nani eka ngapi?je hapo maji niyamsimu au? Nakabla yhapo ulikuwa unalima nn kwnye hyo shamba

Shamba liko kisaki Lina permanent river-Mto Mgeta na lingine liko Mzume Halina mto,lingine liko Ruvu MTONI Bagamoyo.Nimewahi Lima vitunguu,Nyanya chungu na bamia na pia mahindi huko Kisaki


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hamjambo wadau mi mkazi wa Moro na Dar pia huwa nakuwepo wakati flani flani,Nina mashine kubwa sana kwa ajili ya shughuli za irrigation,nina shamba pia ila natafuta partner mwenye working capital tufanye kazi kwa makubaliano....aliyeko tayari ani PM kwa mazungumzo zaidi,Mimi ni Mdau wa Kilimo kwanza

Asante View attachment 143490


Sent from my iPhone using JamiiForums

Nimeamua Kuuza hii mashine yenye HP 8.5 na ni 4 inches imetumika Mara moja tu bei ni Tshs 850,000 kwa aliye tayari anaweza kuni PM
 
Back
Top Bottom