Nina shamba lenye miti asili Mbingu Morogoro natafuta mtu mwenye vibali, mashine na usafiri tufanye biashara

MrMaro

Member
Aug 23, 2021
9
9
Habari wakuu Mimi nina SHAMBA LENYE MITI ASILI kama vile mininga na mingineyo, Mimi binafsi sina vibali vya kusafirishia Hivyo natafuta mtu mwenye vibali, pia akiwa na mashine kubwa (chainsaw) kwaajili ya kuchania mbao pia awe na usafiri wa kubebea mbao ili tuelewane tufanye BIASHARA. Napatikana kwa namba 0743097373 call/whatsapp
 
Moja kati ya maeneo machache Tanzania yaliyo barikiwa ardhi nzuri na yenye rutuba, basi ni MBINGU!! Mazao ya mpunga na ndizi yanastawi sana hapo!

Ila mmenyimwa tu barabara nzuri ya lami kwa ajili ya kurahisisha usafirishaji wa mazao yenu kwenda sokoni. Kwa hilo nawapa sana pole.

Anyway, nakutakia kila la heri.
 
Habari wakuu Mimi nina SHAMBA LENYE MITI ASILI kama vile mininga na mingineyo, Mimi binafsi sina vibali vya kusafirishia Hivyo natafuta mtu mwenye vibali, pia akiwa na mashine kubwa (chainsaw) kwaajili ya kuchania mbao pia awe na usafiri wa kubebea mbao ili tuelewane tufanye BIASHARA. Napatikana kwa namba 0743097373 call/whatsapp

Mbingu sehemu gani kiongozi ? Miti ipo mingapi? Pia Shamba ukubwa gani?
 
Mbingu sehemu gani kiongozi ? Miti ipo mingapi? Pia Shamba ukubwa gani?
Sehemu inaitwa mulimba mkuu, shamba lina ukubwa wa hekari 30 na miti ni mingi kwa idadi sijaweza kuihesabu mkuu
 
Back
Top Bottom