Nina mashaka Rais wa DRC Joseph Kabila ni Mtanzania mwenzetu

Habari za jioni wakuu

Straight to the topic ni kwamba naapa sikuwahi kumsikiliza kabla rais huyu maishani mwangu ila hamad! nimemsikiliza jioni hii akifanya mahojiano na Salim Kikeke wa BBC Swahili yaani wakati ninamsikiliza akili yangu inakataa kuwa huyu rais wa DRC kuwa ni mkongomani bali ni mtanzania mwenzetu

Ninao uwezo wa kumtambua mswahili asie Raia wa nchi yetu yaani Mkenya au Mrundi au Mnyarwanda kwa kuongea kwake kiswahili (Lafudhi yake inanihabarisha)

Ninaconclude kwa kusema huyu Joseph Kabila ni mtanzania pure na wanaonibishia angalieni mahojiano haya hapa chini

KAMSIKILIZE PIA RAIS WA MOZAMBIQUE UONE MWEZI WA USWAHILINI UTADHANI ALIZALIWA MAGOMENI, HEDARU, AU MGANZA !!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani Sisi Tanzania under Mwalimu JK tungekuwa na uchumi mzuri tungeweza tawala nchini zote zinazotuzunguka. Ma presidaa wengi wametokea hapa Tanzania. Kagame alikuwa Morogoro, Kabilas wote wameishi bongo hapa, Museveni, akina marehemu Samora Machel. Mwalimu alikuwa mbabe sana
Hata Iddi Amini Dada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alikuwa Jeshini wakati ule watu wanapita Jkt kwa mujibu wa sheria pale mgambo Jkt na bro wangu. Nasikia alikuwa anapotea tu wiki, akirudi anakuja na documents analala nazo hagusi mtuu na alikuwa hasumbuliwi na maafande.
Mimi nilishasafiri naye one seat kwny Basi SIMBA MTOTO alikuwa mkimya sana alikuwa akiuliza vijiji tu ama kuvutiwa Na mazingira japo kiswahili chake hakikuwa sawia sana kivile.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuweza KUONGEA vizuri,kwa ufasaha au kwa usahihi lugha ya taifa fulani sio ndio UTAIFA WAKO!!!
Kuna Mambo mengi yanayoweza kukufanya ukaongea vema kabisa lugha ya Taifa jingine kwa kukulia huko au kunifunza kwa usahihi

Hujapata point yangu Bwana wewe
 
Habari za jioni wakuu

Straight to the topic ni kwamba naapa sikuwahi kumsikiliza kabla rais huyu maishani mwangu ila hamad! nimemsikiliza jioni hii akifanya mahojiano na Salim Kikeke wa BBC Swahili yaani wakati ninamsikiliza akili yangu inakataa kuwa huyu rais wa DRC kuwa ni mkongomani bali ni mtanzania mwenzetu

Ninao uwezo wa kumtambua mswahili asie Raia wa nchi yetu yaani Mkenya au Mrundi au Mnyarwanda kwa kuongea kwake kiswahili (Lafudhi yake inanihabarisha)

Ninaconclude kwa kusema huyu Joseph Kabila ni mtanzania pure na wanaonibishia angalieni mahojiano haya hapa chini

Ni Mkongo amekulia hapa Tanzania na amesomea Sangu Sec kule Mbeya.
 
Habari za jioni wakuu

Straight to the topic ni kwamba naapa sikuwahi kumsikiliza kabla rais huyu maishani mwangu ila hamad! nimemsikiliza jioni hii akifanya mahojiano na Salim Kikeke wa BBC Swahili yaani wakati ninamsikiliza akili yangu inakataa kuwa huyu rais wa DRC kuwa ni mkongomani bali ni mtanzania mwenzetu

Ninao uwezo wa kumtambua mswahili asie Raia wa nchi yetu yaani Mkenya au Mrundi au Mnyarwanda kwa kuongea kwake kiswahili (Lafudhi yake inanihabarisha)

Ninaconclude kwa kusema huyu Joseph Kabila ni mtanzania pure na wanaonibishia angalieni mahojiano haya hapa chini

Ulizia maeneo ya Mikocheni ndipo alipokulia.

Kuna watu wamecheza nae sana chandimu huyo.
 
Back
Top Bottom