Nina mashaka Rais wa DRC Joseph Kabila ni Mtanzania mwenzetu

Mpe muda, kumbuka kuwa nchi kama Rwanda haipendi kuona utulivu kule DR Congo, wanataka jamaa wasiwe na utulivu ili waendelee kuwaibia madini.

Jamaa ana kazi ya kuinganisha nchi ili watu wote wawe wanaongea lugha moja kama wakongomani.
Sa hivi rais wa sasa wa Congo na Kagame ni washkaji na ameshatembelea kigali kama mara 3 na hata mkewe alikua Kigali majuzi kati,Rwandair sasa inaenda Congo mara 3 kwa wiki&finally jeshi la Rwanda wanashirikiana na la congo kupiga operation huko maporini kama kawa.
 
Good news. Tumechoka kusikia na kusoma habari za kuviziana ili watu wauane. Afrika haswa DRC ni tajiri sana, kama jamaa wakitulia na kujikita kwenye uzalishaji mali, hatuwezi kuwafikia kimaendeleo.
 
Habari za jioni wakuu

Straight to the topic ni kwamba naapa sikuwahi kumsikiliza kabla rais huyu maishani mwangu ila hamad! nimemsikiliza jioni hii akifanya mahojiano na Salim Kikeke wa BBC Swahili yaani wakati ninamsikiliza akili yangu inakataa kuwa huyu rais wa DRC kuwa ni mkongomani bali ni mtanzania mwenzetu

Ninao uwezo wa kumtambua mswahili asie Raia wa nchi yetu yaani Mkenya au Mrundi au Mnyarwanda kwa kuongea kwake kiswahili (Lafudhi yake inanihabarisha)

Ninaconclude kwa kusema huyu Joseph Kabila ni mtanzania pure na wanaonibishia angalieni mahojiano haya hapa chini

Kakulia Tanzania unategemea nini?
 
Ila maajabu ya huyu bwana kiswahili anacho waongelea wa kongo mani ni tofauti na anacho muongelea kikeke anawaigizia mno
Baba yake alikimbia Congo wakati wa Mobutu alikimbilia kwanza Uganda baadae akaenda Tanzania. Ni vizuri kufuatilia historia ya familia yao kabla ya ku conclude
 
Good news. Tumechoka kusikia na kusoma habari za kuviziana ili watu wauane. Afrika haswa DRC ni tajiri sana, kama jamaa wakitulia na kujikita kwenye uzalishaji mali, hatuwezi kuwafikia kimaendeleo.
Sa hivi rais wa sasa wa Congo na Kagame ni washkaji na ameshatembelea kigali kama mara 3 na hata mkewe alikua Kigali majuzi kati,Rwandair sasa inaenda Congo mara 3 kwa wiki&finally jeshi la Rwanda wanashirikiana na la congo kupiga operation huko maporini kama kawa.
Congo iko shwari , nchi iko kwa Mutoto ya Ki Kasai hakuna tatizo

Kuijenga Congo inahitaji utulivu hasa sehemu nyingi ziliharibika
 
Habari za jioni wakuu

Straight to the topic ni kwamba naapa sikuwahi kumsikiliza kabla rais huyu maishani mwangu ila hamad! nimemsikiliza jioni hii akifanya mahojiano na Salim Kikeke wa BBC Swahili yaani wakati ninamsikiliza akili yangu inakataa kuwa huyu rais wa DRC kuwa ni mkongomani bali ni mtanzania mwenzetu

Ninao uwezo wa kumtambua mswahili asie Raia wa nchi yetu yaani Mkenya au Mrundi au Mnyarwanda kwa kuongea kwake kiswahili (Lafudhi yake inanihabarisha)

Ninaconclude kwa kusema huyu Joseph Kabila ni mtanzania pure na wanaonibishia angalieni mahojiano haya hapa chini

Early life and education
Joseph Kabila Kabange and his twin sister Jaynet Kabila were born on 4 June 1971. According to official accounts, the twins were born at Hewabora, a small village in the Fizi territory of the South Kivu province, in eastern Congo. Rumors have abounded that Kabila was actually born in Tanzania, which would make him a citizen of that country.[7] He is the son of long time rebel, former AFDL leader and president of the Congo Laurent-Désiré Kabila and Sifa Mahanya.
Kabila's childhood coincided with the low point of his father's political and military career. He was raised in relative remoteness, with few records of his early days. Kabila attended a primary school organized by his father's rebel forces, before moving to Tanzania where he completed primary and secondary school. Due to his father's status as an enemy of Zairean strongman Mobutu Sese Seko, Kabila posed as a Tanzanian in his school years to avoid detection by Zairean intelligence agents.[7]
 
Mpe muda, kumbuka kuwa nchi kama Rwanda haipendi kuona utulivu kule DR Congo, wanataka jamaa wasiwe na utulivu ili waendelee kuwaibia madini.

Jamaa ana kazi ya kuinganisha nchi ili watu wote wawe wanaongea lugha moja kama wakongomani.
Wacha tusubiri tuone kitakachojiri
 
Ira
Ukienda Oman kuna mawaziri na viogozi wa ngazi za juu ni watanzania na wanaogea kiswahili fasaha... Tanzania ina maajabu sana hadi wazungu wanatushangaa

Ndani ya jeshi la Marekani kuna watanzania kibao haha!! sijui kwanini Tanzania tupo hapa kwenye huu umaskini..

Rais wa Iran kasoma Marekani
Iran haina rais
 
Back
Top Bottom