Nina mashaka Rais wa DRC Joseph Kabila ni Mtanzania mwenzetu

Congo Gomma....
48929076_2328769940689092_7786239889002987520_o.jpg
 
Nadhani Sisi Tanzania under Mwalimu JK tungekuwa na uchumi mzuri tungeweza tawala nchini zote zinazotuzunguka. Ma presidaa wengi wametokea hapa Tanzania. Kagame alikuwa Morogoro, Kabilas wote wameishi bongo hapa, Museveni, akina marehemu Samora Machel. Mwalimu alikuwa mbabe sana
Labda tulichaguliwa kuwa wapandikizi you never know

Sent from my SM using Tapatalk
 
Habari za jioni wakuu

Straight to the topic ni kwamba naapa sikuwahi kumsikiliza kabla rais huyu maishani mwangu ila hamad! nimemsikiliza jioni hii akifanya mahojiano na Salim Kikeke wa BBC Swahili yaani wakati ninamsikiliza akili yangu inakataa kuwa huyu rais wa DRC kuwa ni mkongomani bali ni mtanzania mwenzetu

Ninao uwezo wa kumtambua mswahili asie Raia wa nchi yetu yaani Mkenya au Mrundi au Mnyarwanda kwa kuongea kwake kiswahili (Lafudhi yake inanihabarisha)

Ninaconclude kwa kusema huyu Joseph Kabila ni mtanzania pure na wanaonibishia angalieni mahojiano haya hapa chini

ana vinasaba vya kitanzania
 
Na hii inaweza kujib uzi mmoja humu kuwa je usalama wa taifa umepandikiza hata rais mmoja ktk nchi jiran

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Abinti wa Jeshini wakati ule watu wanapita Jkt kwa mujibu wa sheria pale mgambo Jkt na bro wangu. Nasikia alikuwa anapotea tu wiki, akirudi anakuja na documents analala nazo hagusi mtuu na alikuwa hasumbuliwi na maafande.
Ni kweli, tulikuwa naye Mgambo JKT operesheni vyama vingi. Alikuwa msomaji mzuri wa novel na msikilizaji mzuri wa redio, vitu ambavyo muda wote alikuwa navyo. JKT alikuwa anaitwa Joseph Kabange.
 
Attachments

  • IMG-20181128-WA0048.jpg
    IMG-20181128-WA0048.jpg
    66.1 KB · Views: 101
  • IMG-20181128-WA0048.jpg
    IMG-20181128-WA0048.jpg
    66.1 KB · Views: 94
Kwanza huyu hakuwa pandikizi la mwalimu kama unavyo weza kudhani.... Ila imenitafakarisha kuwa mauaji ya laulent yanapo tekelezwa dar es salaam ilijua maana alitumwa haraka kunyakua madaraka.... Sijui aliletwa bongo na nani kwa kusudi gani kwakuwa ni mtoto wa baba aliyeuawa na laulent ye ni kuku pori hana baba wala mama sijui nani alimleta na kwa mpango gani..... Ila wanao fanya haya mambo wapo mpaka leo na hakuna mwenye amri juu yao labda jiwe aharibu mfumo ila haya mambo yanamsingi wake automaticaly..... Niwapeni hili amini usiamini Bily Clinton amesoma certificate in laws UDSM mwaka mzima kabla hajaelekea ugaibuni
 
Back
Top Bottom