Nina mashaka na wanaoitwa wanyonge

Asilimia kubwa watanzania wana umaskini wa kichwa na wanasiasa ndio utukandamiza kwenye mambo mengi ambayo ni lazima wanadamu tuwe nayo
Mfano :gari si hanasa kwa maisha ya sasa au huduma lazima mwananchi kuwa nazo kama bima ya afya,mikopo,nyumba mfano NHC,fursa kwa vijana na n.k
Kwa vile wanyonge ndio group la wajinga wanao furahi wajinga wenzao.
Kuna msemo walipenda kutumia clouds fm ule msemo wa usikubali kuwa mdudu kaa,unajua kaa akiwa mmoja kwenye sufuria anaweza kujikomboa ila wakiwa wengi kujikomboa ni shida ndani ya sufiria kila kaa kuzuia mwenzake asitoke.

Wanyonge ni sawa na kaa
 
Daah umenikumbusha ule msemo aisee "Kataa kuwa kaa"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazia tu unamfilisi mtu kama Manji nyuma yake wako waathirika wangap? Hapo umesaidia au kubomoa? Afu wale wafanyakaz wake ndio wanaenda kufunga barabara kwa kufanya biashara ndogo ndogo.
 
Uko sahihi..."kuna mzee mmoja aliwahi niambia mwaka jana kwa sasa yupo UK kwa mwanae anasema Maskini wana roho mbaya sana"....ilikua natoka Songea kurejea Dar
am afraid he is very very right. why?
masikini wana menyality ya kuwa yoyote alie fanikiwa ni kinyume na mitazamo yao.
In their own world haiwezekani kufanikiwa, so badala wao wafanye bidii wafanikiwe.
wanatamani ufilisike ili uwe sawa nao.. hapo ndio wanapata relief.

so unaweza ona concept ya roho mbaya inatoka wapi. in their minds.
 
Mimi nilimshangaa yule Mzee Mnyonge alipoligawa jogoo la kubwa kwa jiwe wakati hata hajala cha asubuhi wala cha mchana
 
Wazia tu unamfilisi mtu kama Manji nyuma yake wako waathirika wangap? Hapo umesaidia au kubomoa? Afu wale wafanyakaz wake ndio wanaenda kufunga barabara kwa kufanya biashara ndogo ndogo.
 
Heb tianzishe harakati hizi kwenye mitandao hata ufunguliwe uzi

#KataaUnyonge #KataaKuwaMnyonge

Hatutaki rais wa wanyonge tunataka rais anaetaka usawa, katiba sio matakwa ya watu na kuuwa upande mwingine
 
Haya ni maneno yaliyofujwa kipindi cha utawala wa Magufuli
1) Wanyonge.
2) Mabeberu.
3)"vita vya uchumi"
4)........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…