Nina mashaka na wanaoitwa wanyonge

Nina mashaka na wanaoitwa wanyonge

Siku zote mwenye shida ndio huumia mtetezi wake anapoaga dunia.

Umeandika sana pumba hapa. Kumbuka tu Machinga, Mama ntilie na Bodaboda jinsi walivyokuwa wanajitanua kwenye hii nchi yao tangu JPM aingie madarakani.

Kumbuka watu walivyo kuwa wana furahia usalama wa nchi yao. Mabasi kutembea usiku na mchana.

Pengine wewe pia ni mnyonge ila hujijui, siku ukijijua utaona namna JPM alivyo kugusa pengine kwenye miradi mbalimbali.

Rest easy our Hero.
Usifurahie kuitwa Mnyonge aiseeee,Kutokomeza Ujambazi yes,well done,ila kuwaruhusu Machinga wajiachie bila mipaka kuna sehemu tumefeli.Wanaharibu sana mandhari na miundombinu jumlisha uchafu.
Mwisho Wanyonge waaache roho mbaya.Wanyonge wana wivu sana
 
Sifa kubwa ya 'wanyonge' ni watu wasiojielewa.. wanajua shida ni kiungo mojawapo kwenye mwili. Hawajui nini kinatakiwa au kilitakiwa kufanyika, hawajui kazi ya watawala wao ni nini.

Ndio maana Marekani walitilia shaka uwezo wa 'wanyonge' kuchagua kiongozi wa nchi, wakaamua watu wachache wenye busara(electoral college) ndio wachague Rais!
Wamarekani waliona mbali
 
Hapa nakupa tano mkuu.Jiwe anajifanya raisi wa wanyonge wakati yeye hana unyonge wowote.Ni kipindi cha kuanza kuibua waziwazi upigaji wa Jiwe .Mimi naanza na zile Trilioni 1.5 zilizoibuliwa na Profesa Assad ambazo hazina maelezo mpaka leo!
Huyu mzee alikuwa mjanja sana! Alijua ili usifiwe ujifanye unawajali masikini na ambao hawaja soma. Akiwapa fedha barabarani hao alio kuwa anawaita wanyonge basi wanadhani ni kweli, kumbe mpigaji mkubwa.
 
Leo nimejifunza definition ya "wanyonge" neno kilitumiwa na wanasiasa sana kipindi hiki kuwa brain wash kundi fulani.
na wamefanikiwa kwakweli. as you can see "wanyonge" wana mindset kwamba yoyote aliefanikiwa ni "fisadi", "beberu".
hali iliyowafanya wafurahie kuanguka waliofanikiwa huku wao wakizidi kufilisika zaidi.

naomba uje na definitio ya "BEBERU" JERUSALEMU
 
Siku zote mwenye shida ndio huumia mtetezi wake anapoaga dunia.

Umeandika sana pumba hapa. Kumbuka tu Machinga, Mama ntilie na Bodaboda jinsi walivyokuwa wanajitanua kwenye hii nchi yao tangu JPM aingie madarakani.

Kumbuka watu walivyo kuwa wana furahia usalama wa nchi yao. Mabasi kutembea usiku na mchana.

Pengine wewe pia ni mnyonge ila hujijui, siku ukijijua utaona namna JPM alivyo kugusa pengine kwenye miradi mbalimbali.

Rest easy our Hero.

Mkuu so wewe pia ni mnyonge??
 
Wanamfagilia "Marehemu" kwa jina la "Chuma" eti kisa aliwafanyia "ukuda" "walio juu" hadi "wakaheshimiana" na wanyonge.
Then what!!! Baada ya mtukufu kuzikwa wanarudi kwenye mediocrity life yao kama awali...
 
Umaskini na Roho mbaya vinatembea pamoja.
roho mbaya inakuja kwasababu umaskini unaadhiri akili ya mtu.
ile hali inamfanya mtu aamini kuwa mtu hawezi kufanikiwa kirahis.
ndio maana akitokea mtu kati ya masikini kafanikiwa.. utasikia yale maneno " free mason", katoa kafara, fisadi, anashirikiana na mabeberu.

kwao its impossible mtu kufanikiwa. wanatamani afilisikie arudi kama wao. ndio raha yao
 
Uko sahihi..."kuna mzee mmoja aliwahi niambia mwaka jana kwa sasa yupo UK kwa mwanae anasema Maskini wana roho mbaya sana"....ilikua natoka Songea kurejea Dar

Back
Top Bottom