MANGUNGO
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 1,536
- 354
Suala la katiba mpya halikuwepo ktk ilani ya ccm wala serekali haikuwa na program kama hiyo hivyo kikwete alipata wapi mamlaka ya kuanzisha katiba mpya?,,,,na kwanini hashindwe kulihairisha bunge msilete porojo eti sheria,pumbavu zenu ccm
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums