Nina mashaka na uwezo wa Godless Lema

Nina mashaka na uwezo wa Godless Lema

Kama wewe Unaogopa ni wewe lakini kwakua tunajitambua Tatafanya kile kilicho haki yetu
 
Hata mimi nina mashaka na uwezo wako. Kwa nchi kama tanzania haiitaji kujua mfumuko wa bei unasababishwa na nini, acha kumtetea jk, yeye mwenyewe alishasema hajui ni kwanini tanzania ni masikini wakati huohuo anawaambie wananchi atawaletea maisha bora!
Jipange uje upya acha kutetea upumbavu, kama hujamwelewa lema, haya niambie umeelewaje kauli ya kikwete kwamba hajui ni kwanini tanzania ni masikini.

Naona amefananisha usemi na mtume Mohammed aliyesema hajui haendako wala atakavyofanywa Teh Teh Teh!.
 
lema ni mtu wa kupuuziwa!!ni mtu ambaye hupaswi umiza kichwa

Mbona povu lawatoka?. Si mngekaa kimnya. Kweli Lema pasua kichwa kwa chichiem hampumui wala kupata usingizi.
 
Yani wewe ndiyo kitunguu kabisa hujielewi wala hujui unafanya nini kama ndege wewe bata ambaye huoga matope nakujiona anapendeza.

katika mijitu mijin.ga na mipu.uzi we nawe umo hunaga point katika post zako acha kutumika jivishe uweledi angalia bibi yako maisha anayo ishi yalivyo kua ya hovyo coz of serikali yenu ya magamba waoneeni huruma watanzania wenzenu nyie viny.ago.
 
Lema kwavile najua kichwani hazijaenea vizuri mimi huwa hanipishida nampuuza tu.

Sasa kama mh.Lema niwa kupuuzwa mnatokwa na mapovu kwanini? Mbona mmeujibu Uzi wake tena kwa hoja dhaifu? Kikwete na nyie misukule wake wote majanga
 
Back
Top Bottom