Nina mashaka na uwezo wa Godless Lema

Nina mashaka na uwezo wa Godless Lema

Nimejaribu kuwa kimya lakini naona kuna haja ya kusema.

1. MH LEMA amekuwa mtu wa kulaumu na kulalamika kila wakati. kumlaumu rais kwa hoja dhaifu namna hii ni upofu. je mh lema mapungufu makubwa yaliopo chadema ya kiuongozi huyaoni. mbona km mpambanaji wa kweli hatukusikii ukikemea je huo uzalendo uko wapi?

2. Kiufupi kasome uchumi utaelewa namna inflation inavotokea na sikila kitu unakimbilia kwa mh raisi

3. Kasome sheria ya mabadiliko ya katiba, rais kisheria hana uwezo huo.

4. Je jimbo la Arusha mjini mbona hujakamilisha ahadi zako mbono hilo hulizungumzii?

Tubadilike watz kulalamika tu suluhisho.

Lema hajawahi kuwa na uwezo mkuu...!
 
1.Unajuaje kama hatoi ushauri kupitia mifumo halali na sahihi iliyowekwa ndani ya chama chake!
2.Haihitaji PHD ya uchumi kutambua inflation iliyoko tz kwa sssa.
3.Nani alianzisha mchakato wa kupata katiba mpya?,Sheria ipi ilitumika ktk kuhairisha bmk kupisha bunge la bajeti?,Kama unaweza kuajiri unaweza pia kufukuza kazi au kusitisha ajira ya uliyemuajiri labda kuwepo na zuio la kufanya hivyo kimaandishi pia.
4.Ahadi zipi hizo mkuu mbona wananchi wake kule Arusha wanamsifu kwa nyimbo na mapambio kila kona!
 
Hivi ni kwa nini hii post isiunganishwe na ile ya Lema? Sababu tafadhali!
 
Bata ni hao wanaofungiwa hapo kwenye chupa na kulipwa ujira wa Buku Saba Saba kwa kila comment hapa

kumbe mnajijua na ndio mnaliharibu hilo jamvi la jm lilianza vizuri lakini siku hizi mamluki tupu buku tuu mbinu za cdm.na hii inafanya cham kushindwa kuhudumia ofisi za mikoani
 
hayo maneno ya kuwa watu wamemchoka Lema usithubutu kusemea Arusha lazima wakutoe ngama,Lema ni Nyerere wa Arusha
Kumlinganisha mtu kama Lema na Mwalimu, mtu ambaye kusoma na kuandika kwake ni shughuli , ni ukosefu wa upeo katika kufikiri.
Kumlinganisha Lema na Mwalimu ni sawasawa na kulinganisha mtu wa chekechea asiye na uzoefu wa kuongoza kaya, na thinker mwenye Phd mwenye uzoefu wa kuongoza nchi.
 
Naona LEMA anawatagisha sana magamba daily mnamuwaza yeye tu!
 
Yani wewe ndiyo kitunguu kabisa hujielewi wala hujui unafanya nini kama ndege wewe bata ambaye huoga matope nakujiona anapendeza.
Issue iko ya kueleweka lkn umeshindwa kujibu,jibu hoja usikurupuke
 
Back
Top Bottom