Lema kwavile najua kichwani hazijaenea vizuri mimi huwa hanipishida nampuuza tu.
Nimejaribu kuwa kimya lakini naona kuna haja ya kusema.
1. MH LEMA amekuwa mtu wa kulaumu na kulalamika kila wakati. kumlaumu rais kwa hoja dhaifu namna hii ni upofu. je mh lema mapungufu makubwa yaliopo chadema ya kiuongozi huyaoni. mbona km mpambanaji wa kweli hatukusikii ukikemea je huo uzalendo uko wapi?
2. Kiufupi kasome uchumi utaelewa namna inflation inavotokea na sikila kitu unakimbilia kwa mh raisi
3. Kasome sheria ya mabadiliko ya katiba, rais kisheria hana uwezo huo.
4. Je jimbo la Arusha mjini mbona hujakamilisha ahadi zako mbono hilo hulizungumzii?
Tubadilike watz kulalamika tu suluhisho.
Kumlinganisha mtu kama Lema na Mwalimu, mtu ambaye kusoma na kuandika kwake ni shughuli , ni ukosefu wa upeo katika kufikiri.
Kumlinganisha Lema na Mwalimu ni sawasawa na kulinganisha mtu wa chekechea asiye na uzoefu wa kuongoza kaya, na thinker mwenye Phd mwenye uzoefu wa kuongoza nchi.
Kweli mnamuogopa kijana. Pichu zinawabana msipotaja jina lake.
Nimejaribu kuwa kimya lakini naona kuna haja ya kusema.
1. MH LEMA amekuwa mtu wa kulaumu na kulalamika kila wakati. kumlaumu rais kwa hoja dhaifu namna hii ni upofu. je mh lema mapungufu makubwa yaliopo chadema ya kiuongozi huyaoni. mbona km mpambanaji wa kweli hatukusikii ukikemea je huo uzalendo uko wapi?
2. Kiufupi kasome uchumi utaelewa namna inflation inavotokea na sikila kitu unakimbilia kwa mh raisi
3. Kasome sheria ya mabadiliko ya katiba, rais kisheria hana uwezo huo.
4. Je jimbo la Arusha mjini mbona hujakamilisha ahadi zako mbono hilo hulizungumzii?
Tubadilike watz kulalamika tu suluhisho.
kwa hyo hao magamba washakuwa na jipya lipi acheni kutumika vibaya hizi hoja zenu nyepesi huwez kufananisha na global thinker kama lema .
Muheshimiwa Lema he is a great thinker, a great politician,a great man and also a great mp, kwa kweli kama mleta mada hakukuelewa katika waraka wako bac hata atoke mtu ccm hata muelewa. Songa mbele Lema
Wewe uliyenazo, kagombee hata kijijini kwako tuone kama watakupa nyumba 10 10. Kama hajaenda shule na anaweza kuwa mjasiri hivo, na walioenda shule(Ma-Prof) wanaendeshwa na CCM, wanaiba, unadhani shule zenu zinatusaidia nini. Tunahitaji watu mahiri wa kusimama na kusema ukweli.Lema kwavile najua kichwani hazijaenea vizuri mimi huwa hanipishida nampuuza tu.
Mzee wa kitofali