Nina mashaka na uwezo wa Godless Lema

Nina mashaka na uwezo wa Godless Lema

wabunge wenye iq ndogo katiba iweke waz namna ya kuwatoa ni shiiiiiiiiiiiiiiidaaaaaaaaaahhhhhhhh
 
Umechelewa sana kupata mashaka na Lema! Lema ni mropokaji!
 
chadema wangekuwa na busara wangemzuia lema kuropoka kwani anakiabisha chama kwa busara yake ndogo
 
Mungu ameamua kuwapa upofu ccm ili nchi ikombolewe, hata nyekundu hawawezi kuiona wanaona nyeusi tu.
 
Nimejaribu kuwa kimya lakini naona kuna haja ya kusema.

1. MH LEMA amekuwa mtu wa kulaumu na kulalamika kila wakati. kumlaumu rais kwa hoja dhaifu namna hii ni upofu. je mh lema mapungufu makubwa yaliopo chadema ya kiuongozi huyaoni. mbona km mpambanaji wa kweli hatukusikii ukikemea je huo uzalendo uko wapi?

2. Kiufupi kasome uchumi utaelewa namna inflation inavotokea na sikila kitu unakimbilia kwa mh raisi

3. Kasome sheria ya mabadiliko ya katiba, rais kisheria hana uwezo huo.

4. Je jimbo la Arusha mjini mbona hujakamilisha ahadi zako mbono hilo hulizungumzii?

Tubadilike watz kulalamika tu suluhisho.

*****#####******
 
mleta hoja hana hoja ya msingi, alichofanikiwa ni kupanga watu wanaolipwa buku saba kila siku, ili wachangie kwa wingi na kuonekana kuwa kuna habari ya kuchangia wakati ni UPUUZI MTUPU. Hoja za kushambuliana hazimjengi mtu yeyote hapa JF zaidi ya kupotezeana muda tu.
 
anaechangia hoja ya kipuuzi naye ni .... jaza mwenyewe
 
Back
Top Bottom