Nina mashaka na uwezo wa Godless Lema

Nina mashaka na uwezo wa Godless Lema

Lemah ni utoto unamsumbua ila perepeche anazo..

Akitupata tena sisi wajinga tutampigia kura mwakani..😱:thumbdown:
 
Msukule wa mboyeeeeeeeeeeee........

Niite jina lolote utakalo but I won't care a jot! Kwanza haibadilishi ukweli na pili (which is more important) hata wewe mwenyewe unajua ndani ya moyo/nafsi wako/yako - hata uwe ----- kwa aina gani- kuwa unachokisimamia si ukweli wala haki!
 
Kazi mnayofanya vijana mlioajiriwa kuitetea CCM humu ndani ni rahisi lakini ni ngumu katika dhamira zenu. Siku moja mtajikuta mmekuwa wehu kwa kulazimisha akili zenu zikatae ukweli kutetea uongo. a.k.a buku 7.
Eti hizi zote ni mbinu za kujikwamua. Chama hiki kinakufa haki ya nani. Lol!
 
Nimejaribu kuwa kimya lakini naona kuna haja ya kusema.

1. MH LEMA amekuwa mtu wa kulaumu na kulalamika kila wakati. kumlaumu rais kwa hoja dhaifu namna hii ni upofu. je mh lema mapungufu makubwa yaliopo chadema ya kiuongozi huyaoni. mbona km mpambanaji wa kweli hatukusikii ukikemea je huo uzalendo uko wapi?

2. Kiufupi kasome uchumi utaelewa namna inflation inavotokea na sikila kitu unakimbilia kwa mh raisi

3. Kasome sheria ya mabadiliko ya katiba, rais kisheria hana uwezo huo.

4. Je jimbo la Arusha mjini mbona hujakamilisha ahadi zako mbono hilo hulizungumzii?

Tubadilike watz kulalamika tu suluhisho.

Mleta mada Eti ni kweli Mh.Jk alisoma uchumi UDSM?umewahi kumsikia akiongea kiuchumi Kuhusu mdudu inflation?
 
Unajua, ukiambiwa uangalie kaTI ya Lema na Jk nani hamnazo kichwani, hata mtoto mdogo anajua. Kila siku kauli mbiu mara maisha bora kwa kila mtanzania, mara ari mpya nguvu mpya na kasi mpya, hivi anajitambua huyu mtu? hivi kati ya Lema na Jk nani kitunguu hapa. Acheni ushabiki wakimandazi, Jk hana analolijua Lema si level ya Jk, Jk level yake ni wale nawanaomshabikia. shame on you.
 
Kuna jamaa alitukanwa na mkewe majuzi,"unakuwa kama jk,toka umeniahid maisha bora huu mwaka wa 7"!
 
kunawatu jf, huwa ukiongfa lolote kuhusu cdm wew ni ccm, mi vichwa yao mgando kweli na silaa zao kubwa matusi.wengine tunachangia kiutaalamu kwa mada tunazozijua, lakin wao sasa kilakitu yanabisha
 
kunawatu jf, huwa ukiongfa lolote kuhusu cdm wew ni ccm, mi vichwa yao mgando kweli na silaa zao kubwa matusi.wengine tunachangia kiutaalamu kwa mada tunazozijua, lakin wao sasa kilakitu yanabisha

wapuuze
 
Kazi mnayofanya vijana mlioajiriwa kuitetea CCM humu ndani ni rahisi lakini ni ngumu katika dhamira zenu. Siku moja mtajikuta mmekuwa wehu kwa kulazimisha akili zenu zikatae ukweli kutetea uongo. a.k.a buku 7.
Eti hizi zote ni mbinu za kujikwamua. Chama hiki kinakufa haki ya nani. Lol!

jipange
 
Back
Top Bottom