The Wakanda Panth3r
JF-Expert Member
- May 22, 2018
- 260
- 205
- Thread starter
- #81
Mpango upo, mkubwa mtu. Labda niwashikirikishe jambo jingine. Mbali na kumuhudumia yeye kimahitaji yote ya kiuchumi, kumfungulia duka la nguo na vifaa vya watoto na akina mama, kumpatia moja ya gari langu kutumia. Lakini pia nalipia sehemu ya ada ya mdogo wake.Nionavyo mimi hapo uyo dada anaonekana ndio anajifunza ayo mambo ya kiafrika pia nia yake sio mbaya sana kwako, kingine anashawishika alipowaona wenzake wameolewa ndio kachanganyikiwa sana, labda nikuulize swali mzee baba kwako mpango wa kumuoa uyo mdada upo au ndio kiburudisho tu na je itachukua mda gani mpk uje umuwowe? Mana ninavyoona mimi kinachofuata hapo ni kwenda kwenye mizizi na habari ya mizizi si mchezo utaenda mwenyewe kutangaza ndoa
Hayo yote yanaonesha utayari wangu wa kuwa na yeye kwa muda mrefu hata ndoa. Ila hatuwezi tu kuanza kuoa. Katika kipindi hiki chote mbali na niliyomkuta nayo, ni binti mkarimu na mwenye adabu sana. Muelewa na mcheshi hata kwa ndugu zangu wanaomfahamu.
Samahani, nimekujibu yote kwa urefu maana kuna mchangiaji mmoja amesema huyu binti anajitolea na nampoteza muda. Nadhani akipitia hapa ataelewa na mimi jinsi nilivyoanza kuwekeza kwake.