MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,512
- 15,095
AiseeKuna ubaya kumfanyia dawa yule unayempenda![]()
Kufanya dawa tu ni ubaya
AiseeKuna ubaya kumfanyia dawa yule unayempenda![]()
We jamaa yaani mnatenda dhambi za uchafu afu eti mnasali pamoja??????! Shit! Umenikumbusha dada mmoja alikuwa anajiita mpendwa na rafiki yake akawa anakuja na Biblia eti wamekuja kuomba wakaishia kupeana mimba. Guys hamuwezi fanya mapenzi nje ya ndoa afu mkaingia kwenye sala wote mkiwa wazinzi!!

subiri waje wakuambie unahukumu, kwani wewe ni mtakatifu? Kuna kaka mmoja tulikuwa tynafanya kazi wote eti siku hiyo anatuambia eti yeye na girlfriend wake walikuwa wanapiga magoti pamoja wanaomba Mungu awape mtoto, na walipata mapacha. Nilicheka nikasema Mungu huyu kweli anajua kuchukuliana na akili za sisi waja wake. Huwa namuelewa sana Abiud Misholi na wimbo wake ule anaimba ' Ni wewe Mungu pekee wastahili cheo hicho'. Kuna muda wanadamu tunafanya mambo ya ajabu lakini tunachukulia kawaida eti Mungu anasamehe daah ningekuwa mimi ni Mungu hakika nisingevumilia huo ujinga.Haijalishi una dhambi kiasi gani, kujiweka mbali na Mungu kisa una dhambi ni kuzidi kumkaribisha zaidi shetani,Umesema huwa mnafanya sala pamoja, kwa hiyo huwa mnazini kwanza ndio mnasali au mnasali ndio mnaingia kuzini? Samahani nimeona hapo tu mengine sijui
me nadhani,rudia tena kufanya utafiti..kama ni ushirikina atakuwa anarudia mara kwa mara...ukimkuta tena,mkamate red handed...hapo maamuzi yatakuwa ni yakoHabari wana bodi.
Hii ni mara yangu ya kwanza kuandika kwenye jukwaa hili, japo kuwa ni mshiriki mzuri wa kusoma na kutoa maoni kwenye mada mbalimbali jukwaani. Leo kuna kitu ningependa kuwashirikisha, pengine kuna wajuvi wa mambo ambao watanisaidia vema.
Nipo kwenye mahusiano na binti mmoja mwenyeji wa mikoa ya Kanda ya Ziwa. Ni muda wa mwaka sasa nipo naye kwenye mahusiano haya. Tumekuwa na wakati mzuri sana, japo mikwaruzano ya hapa na pale haikosekani ila sio mikubwa sana kuleta taharuki.
Kitu ambacho nakiona na najifunza kutoka kwa mwenzangu ni utayari wake wa kutaka kuolewa. Tokea mwezi wa sita mwaka huu yeye habari zake ni mahala pa kufanyia harusi, gharama za ukumbi na chakula, wangapi waje kwa harusi n.k.
Mbaya zaidi, karibia rafiki zake wote wameolewa na nimekuwa napata shinikizo kutoka kwa wenzake kwa njia zisizo za moja kwa moja.
Binafsi, sipo tayari kwa mahusiano ya ndoa kwa hivi karibuni. Ila mpango wa kufunga nae ndoa upo kwa zaidi ya asilimia 50. Shida inakuja kwa upande wa mwenzangu kulazimisha, kuwa karibu na ndugu zangu, hata kunitambulisha kwa watu wazito wa mkoani hapa.
Kilichonifanya niandike uzi huu, ni jambo lililotokea na kulishuhudia binafsi asubuhi hii. Mara nyingi, huwa akiwa amekuja nitembelea kwangu basi huwa tunaenda kuoga pamoja kila mara, iwe asubuhi au jioni au hata baada ya chakula adhimu.
Ila leo asubuhi mwenzangu akaenda oga peke yake. Wakati anaoga, nilienda taratibu kwa lengo la kujumuika naye ila nikasema ngoja nijibanze ili nimfanyie utani wa kumshtua, michezo ya hapa na pale. Mlango wa bafu ulikuwa wazi, nikaweza mtazama alichokuwa anafanya. Mwenzangu alianza kujisafisha sehem zake za siri akawa anarudia rudia mara nyingi kuliko kawaida na jambo la kushangaza, ule mkono aliokuwa anajisafishia akaudumbukiza kwenye ndoo ya maji ambayo niligundua alikuwa amenitengea nije kuoga.
Tokea asubuhi tukio hili limenifikirisha sana na kunifanya kuanza kumtazama tofauti mwenzangu. Sio kwa ubaya ila wasiwasi unanifanya niwaze zaidi.
Nje ya jambo hili, huwa tunasali pamoja na kushirikiana mambo kadha wa kadha ya sala. Ila hili la leo limenishtua mno na kunikosesha amani.
Kwa wajuvi wa mambo, je kuna haja ya mimi kuwa na wasiwasi juu ya tukio hili au nifunike kombe mambo yaendelee?
Nawasilisha.
Mtu akishaanza ibada za kikwetu ngumu sana kumtoa japo inawezekana kwa nguvu sana, bora umshauri atafute uelekeo mwingine ndio njia rahisi.Kaona unasuasua kakutana wa wajanja wamemfundisha mbinu... Kabla hajaharibika zaidi na kama unampenda kwa dhati... Ongea naye kwa upole na makhaba.. Mweleze ubaya na athari wa kitu alichofanya kisha mhakikishie ndoa..
Oga maji kuwa zezeta akuendeshe umuoe uachane na wengi magonjwa yakuache ufurahia maisha nyie wawili. OverHabari wana bodi.
Hii ni mara yangu ya kwanza kuandika kwenye jukwaa hili, japo kuwa ni mshiriki mzuri wa kusoma na kutoa maoni kwenye mada mbalimbali jukwaani. Leo kuna kitu ningependa kuwashirikisha, pengine kuna wajuvi wa mambo ambao watanisaidia vema.
Nipo kwenye mahusiano na binti mmoja mwenyeji wa mikoa ya Kanda ya Ziwa. Ni muda wa mwaka sasa nipo naye kwenye mahusiano haya. Tumekuwa na wakati mzuri sana, japo mikwaruzano ya hapa na pale haikosekani ila sio mikubwa sana kuleta taharuki.
Kitu ambacho nakiona na najifunza kutoka kwa mwenzangu ni utayari wake wa kutaka kuolewa. Tokea mwezi wa sita mwaka huu yeye habari zake ni mahala pa kufanyia harusi, gharama za ukumbi na chakula, wangapi waje kwa harusi n.k.
Mbaya zaidi, karibia rafiki zake wote wameolewa na nimekuwa napata shinikizo kutoka kwa wenzake kwa njia zisizo za moja kwa moja.
Binafsi, sipo tayari kwa mahusiano ya ndoa kwa hivi karibuni. Ila mpango wa kufunga nae ndoa upo kwa zaidi ya asilimia 50. Shida inakuja kwa upande wa mwenzangu kulazimisha, kuwa karibu na ndugu zangu, hata kunitambulisha kwa watu wazito wa mkoani hapa.
Kilichonifanya niandike uzi huu, ni jambo lililotokea na kulishuhudia binafsi asubuhi hii. Mara nyingi, huwa akiwa amekuja nitembelea kwangu basi huwa tunaenda kuoga pamoja kila mara, iwe asubuhi au jioni au hata baada ya chakula adhimu.
Ila leo asubuhi mwenzangu akaenda oga peke yake. Wakati anaoga, nilienda taratibu kwa lengo la kujumuika naye ila nikasema ngoja nijibanze ili nimfanyie utani wa kumshtua, michezo ya hapa na pale. Mlango wa bafu ulikuwa wazi, nikaweza mtazama alichokuwa anafanya. Mwenzangu alianza kujisafisha sehem zake za siri akawa anarudia rudia mara nyingi kuliko kawaida na jambo la kushangaza, ule mkono aliokuwa anajisafishia akaudumbukiza kwenye ndoo ya maji ambayo niligundua alikuwa amenitengea nije kuoga.
Tokea asubuhi tukio hili limenifikirisha sana na kunifanya kuanza kumtazama tofauti mwenzangu. Sio kwa ubaya ila wasiwasi unanifanya niwaze zaidi.
Nje ya jambo hili, huwa tunasali pamoja na kushirikiana mambo kadha wa kadha ya sala. Ila hili la leo limenishtua mno na kunikosesha amani.
Kwa wajuvi wa mambo, je kuna haja ya mimi kuwa na wasiwasi juu ya tukio hili au nifunike kombe mambo yaendelee?
Nawasilisha.
Ungeweza kupata majibu hapa kutokana na kabila lake!Naomba nisitoe sana taarifa, ila ni mwenyeji wa ziwa refu zaidi afrika.
Unawekewa dawa Mzeiya shtukaHabari wana bodi.

Lengo lake ni zuri tu we endelea na mipango ya ndoa! ni sawa tu kama ungekuta anasali kwa sauti ili ndoa yenu ifanikiwe sema yeye kasali Kiafrika na wewe umezoea Kizungu au Kiarabu.
Mstiri mtoto wa watu acha kutafuta sababu. Mtu mpaka anakuhangaikia hivyo ni ww ndio huenda unayataka, anakupenda halafu unataka kujifanya kichwa ngumu.
Unawekewa dawa Mzeiya shtuka
Yaani wewe hutaki kuoa ila unataka kufaidi ya ndoani? Kama hunampango wa kuoa hivi jirani na unawakwa na tamaa ya mwili watafute wanaofanya hayo bila malengo ya kuoana, otherwise waache innocent garls wenye malengo ya ndoa watimize ndoto zao. Ni very boring bint anajitolea akijua ndoa ipo kumbe wewe unataka kupata huduma yake kwa Sasa wakati hunampango wa kuoa soon
Nimewaza hili nami,kazi na sala mchanganyoUmesema huwa mnafanya sala pamoja, kwa hiyo huwa mnazini kwanza ndio mnasali au mnasali ndio mnaingia kuzini? Samahani nimeona hapo tu mengine sijui