Hapo analishwa kila kitu adi mavi ya mbwa 🤣 🤣 🤣 🤣 mtu anataka ndoa we unachelewesha ngoja ule vituhata nyama ya paka huenda kalishwa huyu
Kuna watu bado wapo middle stone age😂😂😂.Zama hizi sio za kuoga na ndoo anza kubadilika ukwepe visanga hivi
Ndo kusema...wanamshirikisha Mungu kwenye zinaa, una dhambi wewe😂😂Umesema huwa mnafanya sala pamoja, kwa hiyo huwa mnazini kwanza ndio mnasali au mnasali ndio mnaingia kuzini? Samahani nimeona hapo tu mengine sijui
Ndo kusema...wanamshirikisha Mungu kwenye zinaa, una dhambi wewe![]()


ukiwaambia acheni kumchanganya Mungu na uzinzi wenu watasema unahukumu. Acha nikae kimya mie kama mondiAcha uongo maeneo haya tunayoishi hakuna maji ya Bomba! hata km yapo kwani kwani tank la dharula hamna?.Of course, kuna bomba la shower. Bahati mbaya maji yamekuwa mtihani kwa siku hizi mbili. Ndio maana natumia ndoo.
Huyo demu amekupenda sababu ulitangulia wewe kumfanyia limbwata, sasa ndo matokeo yake hayoUnaweza kunichokoza upate maelezo ya kutosha. Niulize maswali ya kutosha ili niweze kukujibu. Siwezi kuweka kila kitu.