Naona umeamkia mapema kabisa kijiweni!! Ngoja nipite tu hapa, nimewamiss sana!!!!:tea::music:
mi leo nipo on and off mkuu...Rejao, mambo vipi naona upo kijiweni mie ndio nafika kuna habari gani leo apa kijiweni?
aah swtheart upo? Miss u a lot my babymi leo nipo on and off mkuu...
Majukumu yamenibana sana, hata muda wa kukaa hapa kijiweni nakosa!
Na mshindi ni....
NN mwandaaji njoo na funguo za hiyo pikipiki basi.
The Second Runner is nitonye
The First Runner is Michelle
And the Winner of 2012 NN ndembendembe Contest is .........., nimepaliwa mate Lizzy na heart mnawangia sauti ya mtangazaji.

Kongosho, kila siku ninaona avatar yako lakini leo nimeangalia kwa makini. Nimecheka sana!na hamu ya kuanzisha sredi
ila sina jambo la maana
nataka sehemu ya kupiga soga tu
naogopa kuchakachua sredi za watu bure
mwishowe waninunie
kwa anayetaka kijiwe cha kahawa bila stress
Karibu hapa, karanga na kashata juu yako.
Sasa wewe unaanza kuwaponda washiriki kabla hajatangazwa
Zitapigwa sasa hivi
Si uliona yale sijui ya utalii Dodoma
Ngumi zilivyovurumushwa!!!
Nina hamu na kushika nyonyo za naniii....
Hahahahahaha......thanks a lot, you made my evening! Maana huo ugali unapikwa chini...LOL....🙂 🙂
Mwandaaji kakataa kutangaza matokeo.
Popote anatakapoonekena NN aje huku atangaze bana
Tumekesha usiku kucha tukisubiri hii
nipo darling...imagine toka asubuhi ndio napumua!!! how waz ur day?aah swtheart upo? Miss u a lot my baby
nipo darling...imagine toka asubuhi ndio napumua!!! how waz ur day?