Siogope ila nimeona mlivyopotea na kurudi pamoja ghafla bin vuuuum. Sijui ndio mlikua mnapakana grisi. . . Lolzz. . .
Mi siwezi kuwa na wasiwasi maana changu panga boi halioni ndani. Mtoto kiuno laini, kanga hata ikiegeshwa inakaa.
Tusiandikie mate....tuyaweke mauno uwanjani,watu waone mitetemesho na mirindimo...ukubwa wa **** sio kujua kukatika,watazamaji wanataka uno....khanga itiwe maji ilainike,uno lifanye kazi. Wanaume wote mtasahau njia za makwenu...#Chezea HEART nyinyiiiiii....
Heheheehheeeee mi penda hiyo konfidensi!
Kitu nyuuurtiiiiiiii.....
Nishaona unaanza kuyaogopa mauno yangu kabla shindano halijaanza.....hapa hakuna kuiba kura ni haki bin haki. Mashabiki wataongea...kiuno hiki kigumu ila ntajitahidi kizunguke kama feni japo kwa leo..
Siogope ila nimeona mlivyopotea na kurudi pamoja ghafla bin vuuuum. Sijui ndio mlikua mnapakana grisi. . . Lolzz. . .
Mi siwezi kuwa na wasiwasi maana changu panga boi halioni ndani. Mtoto kiuno laini, kanga hata ikiegeshwa inakaa.
DJ atakuwa nani...asije akatuwekea blues,kisha akatukata stimu...
Tayari nipo, inaonesha kuondoka kwangu hakukuvunja baraza.rudi bwana ntakulipia kashata basi
Wera weraaaaaa.....nanhiiino kaniogopa!!!! Kayaaaga mashindano...nimempa intro tu huku back stage akaona mziki wangu mnene..kasanda shindano!!! #Kanipa mama kiuno....(singing)...Chezea HEART weweeeeee
Nataka nivipake whip cream na maple syrup halafu niviraaaaaambe aaahm aaahm....
Horny little bastard..
Horny little bastard..
Want some?