Zekidon
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 1,903
- 569
- Thread starter
- #21
Mkuu mshana nimezingatia ofa yako, nipo serious, ukizingatia kwamba katika maisha SI vibaya Sana kuwa na uzoefu WA mambo mbali mbali ukiwa na nafasi, watanzania tunaogopa Sana kujaribu mambo mapya ndio maana unaweza ona hata staili ya kusonga ugali haijabadilika tokea igundulike, maendeleo yanachelewa