Nina gundu sio bure

Nina gundu sio bure

Sura yako ni endelevu?? Weka picha nikuone then takwambia tatizo ni nn
 
huna gundu mkuu, sema kuna kitu unakosea si huwa mnasema sisi tukiongopewa ndio tunakubali usiwe mkweli sana eb jaribu kuwa muongo muongo [emoji23] halaf ulete mrejesho
Mkuu mi mbona nimuongo sana. ...nashindwa kuelewa nakosea wap
 
Huwezi amin kila napokuona humu siachi kuizoom...nilikufuatilia taratibu nikijua wewe ni ke ila nikagundua wewe kidume.
[emoji28] [emoji28] Aah Mkuu pole ila haukuwa peke yako[emoji23] [emoji23]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom