Nina gundu sio bure

Unajua kutongoza ni sanaa eeh? Kwa hiyo usanifu na ubunifu ndicho kipimo.

Lakini pia kutongoza ni sayansi...unatakiwa umsome mwanamke organs zake zinavyoplay wakati unamtongoza.

Lakini pia kutongoza ni psychological phenomena. Unatakiwa umfanye a relux, uvute akili yake yote kwqko.

Haya yote yanahitaji mwanaume anaemtongza mwanamke. Ila kwa wavulana na wasichana huparamiana tu.
Mkuu nimekupata ntayafanyia kazi
 
Mkuu umenikumbusha harakati za Pimbi , yani yule jamaa, anaingia na demu mpaka chumbani jamaa ashavua boksa, yani kinachokuja tokea utashangaa wanatoka nje wanakimbia hajawahi fanikiwa, anyway

√√mkuu usikate tamaa si unajua hawa viumbe wana penda kubembelezwa, kusifiwa, jitoe ufahamu tuu, msifie utaona , lakini usimpe pesa kwanza
 
Siku mitego yote wanaijua hao, wanaanza kukuthaminisha kwanza.

Inaonekana hujaelewa maana ya "mwanamme suruali" bro.

Jipange tu, siku hizi ni KUUZA NA KUNUNUA TU, yale ya zamani yamekwisha, mkuu
 
Habari za asubuhi wana MMU... jukwaa pendwa kabisa naimani wote ni wazima kabisa

napenda niende kwenye mada moja kwa moja

Tangu mwaka uanze nimetongoza mara 4 lakini zote nimeishia kupigwa za uso sasa najiuliza ivi ni gundu gani hasa nililo nalo au kuna sehemu naenda ndivyo sivyo

Wengi wao wanadai wako katika mahusiano na mimi mwanamke akisha niambia yupo kwenye mahusiano huwa nakata tamaa
Wakuu hebu nipeni njia mbadala zitoweza kuniwezesha kuwapata hawa viumbe kwa sababu upweke umenichosha ndugu zangu
Cc stunter
Hao ndio kawaida yao komaa tu Mimi mmoja ana mahusiano siku namdondoseja saundi anashindwa kukataa aanaishia tu kusema naogopa kumsaliti mchumba wangu ukiongeza moto anakuambia basi tutafanya maramoja tu halaf basi
 
Habari za asubuhi wana MMU... jukwaa pendwa kabisa naimani wote ni wazima kabisa

napenda niende kwenye mada moja kwa moja

Tangu mwaka uanze nimetongoza mara 4 lakini zote nimeishia kupigwa za uso sasa najiuliza ivi ni gundu gani hasa nililo nalo au kuna sehemu naenda ndivyo sivyo

Wengi wao wanadai wako katika mahusiano na mimi mwanamke akisha niambia yupo kwenye mahusiano huwa nakata tamaa
Wakuu hebu nipeni njia mbadala zitoweza kuniwezesha kuwapata hawa viumbe kwa sababu upweke umenichosha ndugu zangu
Cc stunter
Likuepukalo lina heri nawe!
 
tumia hela tu watakuelewa

me nikienda bar au club nikimwona msichana amenivutia simfati kwanza naanza kuchafua meza kwa bia za kutosha then namfata... huwa hawachomoi kabisa
 
Habari za asubuhi wana MMU... jukwaa pendwa kabisa naimani wote ni wazima kabisa

napenda niende kwenye mada moja kwa moja

Tangu mwaka uanze nimetongoza mara 4 lakini zote nimeishia kupigwa za uso sasa najiuliza ivi ni gundu gani hasa nililo nalo au kuna sehemu naenda ndivyo sivyo

Wengi wao wanadai wako katika mahusiano na mimi mwanamke akisha niambia yupo kwenye mahusiano huwa nakata tamaa
Wakuu hebu nipeni njia mbadala zitoweza kuniwezesha kuwapata hawa viumbe kwa sababu upweke umenichosha ndugu zangu
Cc stunter
pole mkuu.. sasa kuindoa hiyo ni kukoga mara saba usitumie sabuni !!
 
Siku hizi si lazima utongoze. Fanya mazoea naye siku chache halafu mtoe mara moja ya pili mchezo kwisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom