Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
hizo hela zitanishinda nguo naachaje njeMwenyewe, tena pm yangu nguo unaacha nje
hizo hela zitanishinda nguo naachaje njeMwenyewe, tena pm yangu nguo unaacha nje
Njoo buanahizo hela zitanishinda nguo naachaje nje
wewe vipi upo kwenye mahusiano?au upo single kama mimi?Ngang'ania wengine watasema wako kwenye mahusiano lakn hawamaanishi...ng'ang'ania huku ukitoa zawadi ndogo ndogo na uwe romantic
Uweza kuta yuko kwenye mahusiano kweli lkn hapati utakavompa so anaweza aka quite huko
Habari za asubuhi wana MMU... jukwaa pendwa kabisa naimani wote ni wazima kabisa
napenda niende kwenye mada moja kwa moja
Tangu mwaka uanze nimetongoza mara 4 lakini zote nimeishia kupigwa za uso sasa najiuliza ivi ni gundu gani hasa nililo nalo au kuna sehemu naenda ndivyo sivyo
Wengi wao wanadai wako katika mahusiano na mimi mwanamke akisha niambia yupo kwenye mahusiano huwa nakata tamaa
Wakuu hebu nipeni njia mbadala zitoweza kuniwezesha kuwapata hawa viumbe kwa sababu upweke umenichosha ndugu zangu
Cc stunter
nimefika lkn na nguo zanguNjoo buana

sipati pichaHiyo kazi yangu![]()

Duh hatari sanaDukani kuna Zena, Ayu, Geisha. Revola, Camay, Emperial, nk bado tu unapigwa za uso...
Me pia single vip kwan, tufanye colabo?wewe vipi upo kwenye mahusiano?au upo single kama mimi?