Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,193
Huwezi amin kila napokuona humu siachi kuizoom...nilikufuatilia taratibu nikijua wewe ni ke ila nikagundua wewe kidume.Steak ina raha yake mkuu
Huwezi amin kila napokuona humu siachi kuizoom...nilikufuatilia taratibu nikijua wewe ni ke ila nikagundua wewe kidume.Steak ina raha yake mkuu
Pengine manualUnatumiaga gia gani?
Huwezi amin kila napokuona humu siachi kuizoom...nilikufuatilia taratibu nikijua wewe ni ke ila nikagundua wewe kidume.
hatari sana Sheikh mmh! " sheikh kipozeoAtakuwa anaingia namba moja huyu..! Badiri anzia gia lain afu badae unakaza mpando ukiwa mkubwa..!Unatumiaga gia gani?
Haya bwana shekh...ukiwapata wa hivyo mzigo ukatupiwa kwenye kipedo basi damu shagalaaah shekh![]()
![]()
hatari sana Sheikh mmh! " sheikh kipozeo
Mkuu nashukuru sana. ..iv naweza kuja inbox kwa maelezo zaidiHiyo hali mara nyingi huwa inatokea kwa watu wengi tu.Kinachotakiwa kufanya hapo, wewe nenda katongoze demu yeyote unayeona itakuwa rahisi akukubali , usichague demu.ikiwezekana hata kununu ukishagonga kama mara tatu hivi kungundu litaondoka. Baada ya hapo nenda katongoze demu unaye mpenda.huongei sana lazima akubali.Unajuwa kama ni mtu wa kugonga sana mademu.Mtu huwa anakuwaga na kismati (mvuto ) kwa akina dada.Hauongei sana.jambo jingine usikate tamaa demu anapokuambia kuwa kupo kwenye mahusiano hiyo ni gereshs tu,anskupima pumzi yako ya kuongea.jambo jingine. Unapo msogelea demu mara ya kwanza usimwambie kuwa unampenda.Jenga naya urafiki wa karibu kwanza ili aweze kukuamini.Baada ya majuma au mwezi unaanza sasa kumwambia hisia zako kwake.kumbuka kwamba wanawake wengi wenye kujiamini wanapenda kuingia kwenye uhusians na mwanamume anapo mwamini.
Mkuu usawa huu utamfanya kijana afe kwa mawazonunua gari mkuu............
nunua gari mkuu............
hehehhehhehheUnatumiaga gia gani?
Yaani we Daby comment zako bana...huwaga unachekeshaga sana hasa ukionaga mitakoo...Huwezi amin kila napokuona humu siachi kuizoom...nilikufuatilia taratibu nikijua wewe ni ke ila nikagundua wewe kidume.
Wit acha tu mpendwa...ila utani wang unaishiaga huku bwanaYaani we Daby comment zako bana...huwaga unachekeshaga sana hasa ukionaga mitakoo...
Macho yako yanaona masafa marefuu kapicha kadogooo hivyo umekaonaje??, au macho yako ni werevaa plus??
Bwashee nasubiri tips zakeWit acha tu mpendwa...ila utani wang unaishiaga huku bwana
Swali zuli kwake ngoja nisubir majibuUtamkubali?!
Kila laheli mkuuMimi nataka kumtongoza mtu mida hii
😵😵😵😵😵😵😵😵😵😵😵😵😵😵😵😵😵😵😵😵😵😵😵😵😵😵Ngang'ania wengine watasema wako kwenye mahusiano lakn hawamaanishi...ng'ang'ania huku ukitoa zawadi ndogo ndogo na uwe romantic
Uweza kuta yuko kwenye mahusiano kweli lkn hapati utakavompa so anaweza aka quite huko
Unataka kufundishwa kutongoza, right?Bwashee nasubiri tips zake
Mkuu nahitaji tipsUnataka kufundishwa kutongoza, right?
Unajua kutongoza ni sanaa eeh? Kwa hiyo usanifu na ubunifu ndicho kipimo.Mkuu nahitaji tips