Tumia Kinga wewe, Acha kabisa hii.Wakuu habari za saizi
Nilitamani nianzishe huu Uzi tangu juzi ila mambo mengi, Leo nimepata wasaa kidogo nimeona nishee nanyi kidogo pengine Kuna mtu anaweza kufanya maamuzi kama yangu kujua mbivu na mbichi.
To be honest nilipoenda Kwa mzazi mwenzangu nilichepuka mara moja na kibinti kidogo nakumbuka aliniambia kazaliwa 2006 kama siyo na 7.
Haka kabinti nilikapata baada ya ugomvi na mama watoto, hivyo muda mwingi niliutumia kwenda kijiweni hadi nilipokutana nacho. Niseme tu kalijilengesha sababu kila kitu kilikuwa rahisi kuanzia kuchukua mawasiliano, na kuomba tunda. Nakumbuka nilichukua namba Alhamisi then jmosi nikaomba show kakadai Kako period, niliuliza kanamaliza lini kakasema jpili nikakapanga jtatu hakakutia ugumu.
Jtatu ilifika kila kitu kilienda vizuri. Baada ya tukio hiyo siku sikutaka kumgusa kabsa mtu wangu plus tuna ugomvi hata sikuongea nae zaidi ya chakula nikalala J'nne ya tarehe 7/4 nkaondoka.
Nilivyofika niliumwa kidg nliamini ni Hali ya hewa badae nilikaa sawa, kuanzia mwezi wa 6 katikati hadi wa saba nimeumwa sana MAWAZO yalikuwa mengi sana sabu nilipiga peku mwisho juzi nikaamua kuchukua uamuzi mgumu wa kupima. Nashukuru Mungu Kwa kunipa nafasi nyingine ya kuongeza umakini.
Mwisho, nimechagua kupima sababu Sina siku nyingi nitaenda Kwa mama watoto nilihofia nikimpelekea shida, hiyo changamoto itaathiri wanangu Kwa namna moja au nyingine hivyo ningekutwa na shida ningechagua kumuacha Kwa ajili ya wanangu, na hata kama akipata apate Kwa njia zake si Kwa makusudi yangu. Wakuu tangu nipime hiyo juzi mwili umerudisha Nuru na siumwi tena hofu ilikuwa ikinitafuna sana.
Hiki ndicho kukitaja quadcopter, kadiri Mwanamke anavyokuwa mzuri ndivyo anavyoluwa sana.Ni kweli hili nilikumbuka Tyr nmeshacheza rafu-nilijiaminisha kuwa sabu ni kizuri sidhani kama kinaliwa hovyo hovyo, women wako very smart sana katka kuchagua watu wa kulala nao, ikiwa tu hana njaa ya pesa
Datz y Mimi demu Kama simuamini siwezi hata lala nae, nikiwa na mashaka nae Kuna gut flan huwa zinaniijia nikiforce sana mjegeje hausimami then unakuja kuskia gari limeshawaka siyo pow hii imenitokea mara mbili.Kupiga peku kuna raha yake ila kimbembe ni ngoma
Namjali sana japo ye ananiona kivuruge 😁😁 mzigo wa dhambi zangu niliona nisimbebeshe she is very innocent plus kanizalia vitoto vizuri viwili (Son & Daughter) vyote kanifanyia nilivyohtaji kwenye maisha bila kuomba. Imagine bila yeye hao watoto ningekuwa Sina na life bado gumu ila Kwa ajili yake watoto wapo na maisha yanaendelea, MAWAZO yangu nilishinikiza mimba zitolewe tena Kwa ugomvi mkubwa😁😁💔 ila hao watoto ukiwaangalia 🙏🙏😋Watu wanapendwa nyie
Safi sana.Namjali sana japo ye ananiona kivuruge 😁😁 mzigo wa dhambi zangu niliona nisimbebeshe she is very innocent plus kanizalia vitoto vizuri viwili (Son & Daughter) vyote kanifanyia nilivyohtaji kwenye maisha bila kuomba. Imagine bila yeye hao watoto ningekuwa Sina na life bado gumu ila Kwa ajili yake watoto wapo na maisha yanaendelea, MAWAZO yangu nilishinikiza mimba zitolewe tena Kwa ugomvi mkubwa😁😁💔 ila hao watoto ukiwaangalia 🙏🙏😋
Siyo kweli average women ndo wanalika sana bro Fanya uchunguzi. Shida ya Hawa wanawake wazuri ni ngumu kukuta Yuko siku yeye ni bandika bandua.Hiki ndicho kukitaja quadcopter, kadiri Mwanamke anavyokuwa mzuri ndivyo anavyoluwa sana.
Kama ulivyosema ulimla kirahisi basi na wengine Wana la hivyo hivyo tena wale wa rika lake ndio kabisa
tena unaletewa makusudiDahh! Wengi sikuhizi wanasuuza tu rungu hawajali wala nini unaletewa magonjwa mazito!
Hii ni hatari sana!tena unaletewa makusudi
Datz y Mimi demu Kama simuamini siwezi hata lala nae, nikiwa na mashaka nae Kuna gut flan huwa zinaniijia nikiforce sana mjegeje hausimami then unakuja kuskia gari limeshawaka siyo pow hii imenitokea mara mbili.
Kuna huyu wa mwisho tuliplan kila kitu, ila muda na siku ulivyofika nkawa kama nmesahau, nmekuja kukutana nae ananiuliza mbona hujjanitafuta nkamjibu nilisahau, na ni kweli nilisahau jambo ambalo si kawaida KWANGU kusahau kuwa Nina mechi si KWANGU tu wanaume wengi swala la kupewa mechi huwa tunazngatia sana ila ndo hivyo nilisahau kabsa, guess what after two months Baada ya kupotezana nilichokiona nilitetemeka hadi utumbo, kaisha kakonda😶😶
Na naamini kabisa angenipa ningepiga kavu, wenyeji wa maduka 9 Malimbe mnamfahamu but she is very beautiful kiukweli.
Nilivyouliza Kwa wadananda naambiwa Hilo pira lishawaka kitambo nilimshukuru MUNGU sana, siku zote naamini si Mimi Wala ujanja wangu ila yeye ananiepusha ili atimize kusudi lake la Mimi kuwepo duniani.🙏🙏
Hakika Kuna muda MUNGU anakulinda sema wanadamu huwa tunachelewa sana kujua, hatuna muda wa kutafakari mambo Kwa kina, datz y tunapaswa kushukuru tukikosa/tukipata🙏Aisee it's God protection.
Daah na yeye alikuwa anataka kukusambazia WTH aisee ndo ujue these chicks aren't trustworthy.
Mimi huwa na zingatia sana afya. Kama huwa nakuwa muwazi kwenda kupima. Ila nikiwa na haja za fasta natumia dhana
Hakina God over EverythingHakika Kuna muda MUNGU anakulinda sema wanadamu huwa tunachelewa sana kujua, hatuna muda wa kutafakari mambo Kwa kina, datz y tunapaswa kushukuru tukikosa/tukipata🙏
Kwani kazungumzia kuchepuka.!?Hongera kwa kujali afya ya mke wako
Kila la heri kama utachepuka tena na tena