Nina duku duku na ajira mpya wakuu angalia hii sisi wenye tumemaliza mwaka Jana

kesho kutwa

JF-Expert Member
Dec 7, 2016
1,628
1,786
Wakuu nimemaliza chuo mwaka Jana Sasa tangazo mbona Lina tuchuja?
Screenshot_20190301-185642.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kijana tulia. Wenzio wamemaliza Shule mwaka 2014 wapo mtaani tuu. Ww hata mwaka hujamaliza unakuja kulia lia hapa.

Si ulichagua ww ualimu??? Endelea kusugua bench subiri 2018 - 22
 
Kuwa mpole mkuu mbona mapema sana hata cheti hujapata kitaa ndo hiki mkuu karibu sana.
 
Back
Top Bottom