JINSI ChatGPT inavyoweza kukusaidia kuitwa kwenye usahili na kupata ajira

matemabi

Senior Member
May 2, 2017
103
125
Ipo hivi, akili mnemba au kwa kimombo Artificial intelligence AI's zimekuwa nyingi sana sikuizi. Ila hii ChatGPT imekuwa msaada mkubwa kwa watafutaji ajira.

Fanya hivi fungua account ya ChatGPT, tafuta tangazo la kazi, chukua majukumu ya kazi copy alafu ka paste pale kwenye chatGTP field ya kuandika kisha ongezea maneno kwamba itumie experience yako ya kazi taja pale ulifanya kazi wapi mwaka na kitengo gani.

Kisha mwambie akuandikie barua. Utashangaa kifatacho ni kurekebisha maeneo machache ili barua kuendena na mahitaji yako.

Sent from my SM-N976N using JamiiForums mobile app
 
Sawa tushakupa ajira sasa. Tunataka ufanye ufikiriaji yakinifu sanjari na kuja na mipango madubuti tuchukue ili mauzo katika kampuni yetu yaongezeke. Nakuona ukirudi kwenye akili mnemba tena.
 
Sawa tushakupa ajira sasa. Tunataka ufanye ufikiriaji yakinifu sanjari na kuja na mipango madubuti tuchukue ili mauzo katika kampuni yetu yaongezeke. Nakuona ukirudi kwenye akili mnemba tena.
Kabisa. Sio ivyo tu, unaweza usitoe ajira na ukaamua kutumia akili mnemba kukuza mauzo ya kampuni yako. kazi kwako mzee.

Sent from my SM-N976N using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom