Kwaio leo akilala anywe sumu afe uko kwenye ndoto yake ili kesho alete mrejesho .Aiseee,..nimewaza tuu siku ukifa kwenye hiyo ndoto sijui utaoneshwa life after death,.![]()
Umesema ww hilo chief,.Kwaio leo akilala anywe sumu afe uko kwenye ndoto yake ili kesho alete mrejesho .
Hakuna ninachowaza. Ni kwamba naenda kulala usiku kama wewe unavyofanya unapopata usingizi, halafu ndotoni inakuwa hivyo. 8 years now, ndoto inaendelea tu.Hizi hallucinations Sasa...pale unawaza ila unaona kama ndoto!
Mihadarati inahusika hapa ! Either direct ulitimia Au indirect bila kujua ! Kama ni kisa cha kweli mkuu soon Utakuwa admitted mirembe Au rutindi.
Haiwezekani! Kuna siku niliwahi kuamua kwamba eti leo nikienda kulala ile ndoto ikiendelea nitapiga picha za familia na nyumba nijitumie kwenye email ya kawaida (hii ninayotumia hapa) nione kama zitafika kweli. Nilipolala kweli ndoto iliendelea lakini sikukumbuka chochote nilichopanga kabla sijalala. Nimegutuka kumekucha!Kwaio leo akilala anywe sumu afe uko kwenye ndoto yake ili kesho alete mrejesho .
Vipi rais wa uko ni jiwe nakama ni jiwe vipi mnapata taabu sana??Haiwezekani! Kuna siku niliwahi kuamua kwamba eti leo nikienda kulala ile ndoto ikiendelea nitapiga picha za familia na nyumba nijitumie kwenye email ya kawaida (hii ninayotumia hapa) nione kama zitafika kweli. Nilipolala kweli ndoto iliendelea lakini sikukumbuka chochote nilichopanga kabla sijalala. Nimegutuka kumekucha!
Cha kunishangaza mijadala ya siasa inayoongelewa kule ni ya Marekani na Middle East zaidi. Sijawahi kutambua uongozi ni kina nani, sijui hizo taarifa huwa zinanipitaje! Hata leo nikipanga kuwa nataka nitakapokuwa ndotoni nisome magazeti, nikifika nasahau!Vipi rais wa uko ni jiwe nakama ni jiwe vipi mnapata taabu sana??
Sijawahi kufanikiwa kupanga kitu huku nikakitekeleza kule. Nikifika ni mtu mwingine kabisa na sikumbuki chochote nilichopanga, nakuja kukikumbuka nikishazinduka!Nakuona kama unachezea fursa. Tafuta ideas huko kwenye maisha ya upande wa pili,zilete kwenye maisha yako halisi. Usihangaike kuondoka huko na vitu ambavyo ni tangible utachemka.
Nakumbuka vitu nikiwa macho, napanga vitu hapa, nikiwa ndotoni ni akili nyingine sivikumbuki, lakini nikizinduka navikumbuka tena.Mbona mambo ya kusimulia na maisha unayoyaishi unayakumbuka? Hebu kuwa serious japo kidogo.
Ndiyo nini hiyo bossMultiple personality disorder
Unafanya hallucinations ukiwa ndotoni.Hakuna ninachowaza. Ni kwamba naenda kulala usiku kama wewe unavyofanya unapopata usingizi, halafu ndotoni inakuwa hivyo. 8 years now, ndoto inaendelea tu.
Hallucinations huwa zinakuja kama series? Mwendelezo wa miaka 8?Unafanya hallucinations ukiwa ndotoni.
Ugonjwa wa akili. Unaitwa multiple personality disorders. Mwili mmoja (watu) akili mbili tofauti. Na hawafahamiani.Ndiyo nini hiyo boss