carter
JF-Expert Member
- Jan 23, 2009
- 3,664
- 4,272
Inawezekana, maana hapa inaoneshe umezigeuza fantasy. So hata unapoingia kulala unawish kuendelea series inayofatia!Hallucinations huwa zinakuja kama series? Mwendelezo wa miaka 8?
Inawezekana, maana hapa inaoneshe umezigeuza fantasy. So hata unapoingia kulala unawish kuendelea series inayofatia!Hallucinations huwa zinakuja kama series? Mwendelezo wa miaka 8?
Umenichekesha saana mkuuUwe unakula kabla ya kuvuta bangi
Kwa hiyo hizo akili huwa zinapishana kufanya kazi usiku na mchana? Na zinakuwa kwa mfumo wa ndoto? Na mbona sina madhara yoyote, maisha yangu ya mchana yanaendelea kama kawaida bila kasoro yoyote, na hayo ya usiku ni ndoto tu. Sasa hapo ugonjwa uko wapi?Ugonjwa wa akili. Unaitwa multiple personality disorders. Mwili mmoja (watu) akili mbili tofauti. Na hawafahamiani.
Kivipi?ipo siku hutarudi
Kwani usingizini ni kuzimu mkuu? Na mbona nainjoi sana hii ndoto ya series? Haijawahi kukata hata siku moja!Una ndoa ya kuzimu, Yesu pekee ndie wa kukutoa huko
Mkuu, dunia ina siri nyingi sana na nyingi bado hatujazijua. Ila tunaweza kufanya experiment kupitia hiyo ndoto yako.Mimi naamini ni ndoto tu, na kwa kuwa naifurahia ndio sababu inaendelea
Mtoto wa dada yangu..alipatwa na tatizo Kama hili .. ..toka mdogo analelewa na Bibi yake.. .. alipo maliza Advance ...akatoroka huko kaja kwa mama yake..yeye mwanzo aliota Kuna mtu kaja hapo nyumbani usiku kumchukua.. akaenda nae kwenye misitu mikubwa ya kutisha.. safari yao ndio hiyo ndoto ,yaani wanatembea humo msituni Kama wanaelekea sehemu flani..na akiamka ..akija kulala Tena ndoto inaendelea pale pale ipoishia wakati anaamka.. ..mtu Ni Yule Yule na anaamka kachoka maana analala usingizi mzito Sana ngumu kumuamsha, .. ilichukua mda mrefu Sana kumtibu lakini kwa sasa kapona! Lkn Mara chache huwa anamuota Yule mtu anakuja Ila anasimama kwa mbali anamuangalia Kisha anaondoka...Ndoto imeendelea kwa miaka 12 sasa. Mtoto yuko darasa la 3.
...Mmemuelewa??...Shallom. Ndugu yangu hiyo hali siyo ya kawaida. Nijuavyo mimi, kuna watu ulimwenguni humu wametumikishwa na shetanu bila kujua. Wapo waliopelekwa misituni, baharini, nk nk. Nakushauri kwa haraka sana mtafute mtumishi mwenye maono ya kiroho atakusaidia kwa msaada wa Mungu. Yupo humu aliyekueleza umwone mtumishi Christopher Mwakasege. Ni sahihi kabisa. Pia unaweza kumpigia simu mtumishi mwingine (zamani akihudumu na Mwl Mwakasege) kwa namba 0763 013 686 Pasor Nehemia. Urgently. Nilishaona mwanadamu mwingine wa case kama yako, nikajifunza kwamba hiyo ni ishara ya kipepo na sio baraka. Ni sawa na kutokewa na watu tuliowapenda waliokwisha kufariki. Sio sahihi. Roho zao zinatakiwa zipumzike. Huo ndio ushauri wangu based on experiance. Kama nitakuwa nimekosea unisamehe na mnisamehe wote. Tuko nji moja na dunia hii tunaijua kwa kidogo sana. Nakutakia Mungu akupe lililo lake tu!
Kwamba ikifika hiyo too late ndio nini kitampata..?Mkuu niamini mimi, unaishi sehemu nyingine ambapo ni ulimwengu wa giza, utajua when it is too late
Hapa nakumbuka nilichoota usiku, ambapo niliota yale maisha ya series iliyoanza tangu 2010. Jana ndotoni tulikuwa na kikao cha pre-audit, wamekuja auditors wawili wahindi na mmoja mswahili. Tukapata lunch ofisini. Nikaendelea na kazi hadi saa 11 jioni, nikarudi nyumbani nikakuta mtoto anafanya homework kwenye PC, eti ameambiwa achore ramani ya dunia na kuweka coloring inayoendana na aina ya sport iliyo maarufu katika kila sehemu husika. Nikawa nabishana na mtoto kuwa kwa vile ametoka shule alipaswa akafanye kwanza kitu physical kama kusaidia kazi za nje na mazoezi halafu akaoge, asaidie house chores halafu hiyo homework aifanye wakati anasubiria wengine tuwe tayari for dinner. Mama yake akamtetea kuwa hiyo ramani alishaichora siku nyingi, hapo anamalizia rangi tu. Baadaye tukala tukalala, nikaanza kuota ya huku nyumbani kwangu nikaota mke wangu ananiita nilipostuka nikakuta kweli mke wangu ananiamsha nikaamka nikaanza hii siku niliyo nayo sasa. Hapa nimeamka ni jumatatu, lakini jana ndotoni haikuwa jumatatu, ilikuwa siku ya kazi na mtoto wa ndotoni alienda shule!Mkuu, dunia ina siri nyingi sana na nyingi bado hatujazijua. Ila tunaweza kufanya experiment kupitia hiyo ndoto yako.
Ngoja twende na maswali labda tutajifunza mengi...
Je ukiamka kwenye hiyo ndoto huwa unayakumbuka maisha yako ya huku ulipo sasa(duniani)?
Umesema ukiamka huku 'duniani' huwa unaishangaa ndoto yako, vipi unapo amka kwenye ndoto huwa unayashangaa maisha yako ya duniani?
Kwamba akilala anaishi maisha mengine halisi? Sasa kuishi maisha halisi ni tatizo?Sio ndoto hiyo ni DID waone wataalam wa magonjwa ya akili. Hayo ni maisha halisi unayopitia kwa identity nyingine
Tofauti yangu ni kwamba mimi huwa naamka niko kawaida tu, sina uchovu wowote!Mtoto wa dada yangu..alipatwa na tatizo Kama hili .. ..toka mdogo analelewa na Bibi yake.. .. alipo maliza Advance ...akatoroka huko kaja kwa mama yake..yeye mwanzo aliota Kuna mtu kaja hapo nyumbani usiku kumchukua.. akaenda nae kwenye misitu mikubwa ya kutisha.. safari yao ndio hiyo ndoto ,yaani wanatembea humo msituni Kama wanaelekea sehemu flani..na akiamka ..akija kulala Tena ndoto inaendelea pale pale ipoishia wakati anaamka.. ..mtu Ni Yule Yule na anaamka kachoka maana analala usingizi mzito Sana ngumu kumuamsha, .. ilichukua mda mrefu Sana kumtibu lakini kwa sasa kapona! Lkn Mara chache huwa anamuota Yule mtu anakuja Ila anasimama kwa mbali anamuangalia Kisha anaondoka...
Hili lipo kiimani zaidi.. ..tafuta wenye Imani thabiti wakusaidie.,...
Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app