Nina double life

Nina double life

Utakua ushachukuliwa msukule.
Mh sidhani! Mbona nasikia misukule huwa wanarudi wamechoka vibaya!
Kuna siku moja huko katika ofisi yangu ya ndotoni AC ilipata shoti ikalipuka tukakimbia vibaya sana nikajigonga kwenye mlango wa kioo nikatoka nundu kwenye paji la uso, lakini nilipokuja kuamka nikajikuta niko fresh, sijachoka hata kidogo, sina maumivu yoyote wala nundu sikuwa nayo!
 
Mwalimu C.Mwakasege ana mafundisho mengi kuhusu ndoto, na ameandika vitabu juu ya Ndoto. Tafuta kitabu chake usome, au ingia Youtube kufuatilia mafundisho yake.
Naomba link please
 
Labda unaishi kwenye "simulation". Wataalam wa artificial intelligence wanatabiri siku zijazo watu wataishi katika virtual reality iliyokuwa simulated kwa kompyuta. Pengine umetangulia...
Nime search kwenye google, hits ninazopata hazifanani hata kidogo na hii situation
 
Kawaone pia madaktari wa maswala ya akili unaweza kupata msaada..
 
Mh sidhani! Mbona nasikia misukule huwa wanarudi wamechoka vibaya!
Kuna siku moja huko katika ofisi yangu ya ndotoni AC ilipata shoti ikalipuka tukakimbia vibaya sana nikajigonga kwenye mlango wa kioo nikatoka nundu kwenye paji la uso, lakini nilipokuja kuamka nikajikuta niko fresh, sijachoka hata kidogo, sina maumivu yoyote wala nundu sikuwa nayo!
Kesho yake uliendelea kuwa na hiyo nundu?
 
Tumia iki kisa chako...andika kwa ufasaha... ni story nzuri io kwa waandishi wa vitabu na wazee wa film
 
Ndiyo, nilipolala usiku ndotoni nilijikuta ofisini na nundu kama kawaida, tuliita mafundi wakaweka AC nyingine. Nundu nilidumu nayo kama siku 3 hivi ikanywea taratibu hadi ikaishia, lakini huku maisha ya nje ya ndoto sikuwa nayo. Pia nilishawahi kuunguza ulimi na chai ya moto lakini nilipotoka kwenye ndoto hiyo kuhamia ndoto hii nikawa poa kabisa
 
Dah sikujaliwa kipaji hicho, labda uniunganishe na mtu nimsimulie. Au niende radio free Afrika? Lakini kile kipindi chao sikipendi wanasimulia mambo ya kutisha tu. Ya kwangu ni nzuri, nina kipato kizuri na tena napandishwa cheo na mshahara mara kwa mara, naishi nyumba nzuri na nina amani sana na watu wa kule.
 
Sa unajuaje sa iv uko ndotoni na sa sa iv uko kwenye real life? What if sa iv unavoandika hii thread uko ndotoni na sasi ni washkaji zako wa ndotoni pia!
 
Kwa ujumla zote ni ndoto. Lakini yote yalianza mwaka 2010, ndiyo maana naweza kutofautisha ndoto hii na ile.
 
Wale wa kule ulishawahi waanzishia thredi na walikujibuje?! au ukiwaambia wafanyakazi wenzako wa kule kuwa kuna sehemu naishi pia ila nakua na maishi duni, wao wanakuambiaje?
 
Dah sikujaliwa kipaji hicho, labda uniunganishe na mtu nimsimulie. Au niende radio free Afrika? Lakini kile kipindi chao sikipendi wanasimulia mambo ya kutisha tu. Ya kwangu ni nzuri, nina kipato kizuri na tena napandishwa cheo na mshahara mara kwa mara, naishi nyumba nzuri na nina amani sana na watu wa kule.
Story yako nzuri sana aiseee ina hitaj maboresho kidogo tu... kupata kitabu kizuri au film nzuri..... kwa bahati mbaya sina connection na mtunzi yoyote apa bongo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom