Nina double life

Nina double life

Computer yangu kule ni tofauti sana na hii, haina keyboard badala yake napangusa tu juu ya meza yangu ya kioo kama smartphone. Na haina screen, ni miwani yangu tu nabonyeza "MODE" kwenye meza yangu halafu miwani inafanya kazi kama binoculars. Ukiingia ofisini kwangu utaona meza ya kioo tu huwezi kuona ninachobonyeza wala niachoona, mi naviona kwenye miwani yangu. Na nikivua miwani siwezi kutumia hiyo computer.
 
Sasa mkuu jaribu kufatilia,maybe miji au watu wa ndotoni na wa real kama yupo ata mmoja unayemfaham,
 
Maisha ya kule na ya huku kuna nini cha tofauti umekiona??
 
Nina wake wawili na two homes. Moja ya real life hii hapa na nyingine ya ndotoni. Na zote naziishi kwa kulala. Nikilala huku naamkia kule, na nikilala kule naamkia huku. Lakini si kwamba huwa silali, no, ninapoamka najisikia fresh kabisa kwamba nimepumzika vya kutosha usingizini na yaliyotokea ni ndoto tu.
Mkuu itafute hofu ya mungu ilipo utuache sisi raia tusio na hatia mana naona mauza mauza tu.
Yani kweli mkuu unaamua tukupigisha kwata bila sababu za msingi kweliiiii. .
 
Sasa mkuu jaribu kufatilia,maybe miji au watu wa ndotoni na wa real kama yupo ata mmoja unayemfaham,
Ndotoni nakutana na watu wengi na tunafanya mijadala mingi, na siku za jumapili huwa naenda kanisani na familia ya kule. Lakini watu wale wote sijawahi kumwona hata mmoja huku.
 
Yote hayo huwa naota. Naoga, naongea, nacheza, naogelea, nafanya mikutano, naenda supermarket kununua vitu, yote hayo ndotoni. Na nikiamka nakuta kila kitu nilipolala kipo shwari na mke wangu yuko kando yangu kama kawaida.
Ungekuwa mganga au mchawi ningeweza kukubaliana na wewe..Kuna MTi mmoja wa porini unautumia kuchemsha na maji unakunywa kimiminika chake asubuhi halafu ikifika usiku utakapo lala ..Ndoto utakazo ota zitakuwa kana kwamba ni ukweli kabisa ..Yani utakuwa unarudi " duniani" na kufanya /kuona kila kitu kana kwamba haujalala..
 
Mkuu itafute hofu ya mungu ilipo utuache sisi raia tusio na hatia mana naona mauza mauza tu.
Yani kweli mkuu unaamua tukupigisha kwata bila sababu za msingi kweliiiii. .
Mkuu nimesema ni ndoto, ilianza 2010, imeendelea hivyo in series kila siku na matukio mapya hadi leo
 
Ungekuwa mganga au mchawi ningeweza kukubaliana na wewe..Kuna MTi mmoja wa porini unautumia kuchemsha na maji unakunywa kimiminika chake asubuhi halafu ikifika usiku utakapo lala ..Ndoto utakazo ota zitakuwa kana kwamba ni ukweli kabisa ..Yani utakuwa unarudi " duniani" na kufanya /kuona kila kitu kana kwamba haujalala..
Ni mti gani huo mkuu? Sijawahi kutumia kitu chochote tofauti na vyakula na maji wanayotumia wengine.
 
Mkuu tafuta mtunzi mzuri wa riwaya akiweke hiki kisa chako kwenye maandishi.
Ukipata anayejua kuandika riwaya vizuri kama Husein Tuwa,hakika hiki kisa chako kitakuwa bonge la story.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom