lnx
JF-Expert Member
- Oct 21, 2016
- 387
- 295
Uko vizuri sana bro. endelea kujaza ubongo wetu, mijitu mingne elimu ya kitu husika haina Inataka kudanganya cc, hata mimi naelewa hivi mtu mwenye RH- akioa RH+ watazaa bt vizazi vinavyofuata inawapasa wafuate ushauri wa daktari la cvyo watahangaika sana kupata second born wao. Na mwenye RH+ akioa RH+ au RH- aoe RH- mwenzake hakuna tatzo coz RH zao zina match no reaction at all.Sijajua ni uzao wa ngapi huo, una umri gani huo ujauzito ila mkienda hospitali Daktari atawasaidia na kuwapa njia salama ya kuweka kufika na kujifungua salama.
Usipuuze maumivu yoyote ya tumbo anapokuambia mkeo, Take it serious,Nasisitiza,Nendeni hospitali Mtapata suluhu pale na mama atakua na amani tena.