Ina maana uamini ufafanuzi wa Daktari mswahili - we unafikiri wanao toa ufafanuzi kwenye google wana akili zaidi kuliko Waswahili au?...
Hayo ni mawazo potofu.Mbona Daktari naye anapata huko huko kwenye mtandao.Hata waalimu waliomfundisha wametoa huhuko.Kwenye mtandao kumesheheni vitabu na majarida mbali mbali ya fani ya udaktari na fani zingine.Kwanza daktari anaweza kusoma akakuchakachulia!Sasa ukisoma mwenyewe si vizuri.
Mwisho kumbuka kwamba kwenye mtandao hakuna vya Wazungu tu,viko vya Waafrika,Wachina,Warusi,Wajapani,Wakorea nk. nk.
Unazungumza vitu gani lakini? Hivi wewe ujui mambo ya mitandao imeanza miaka ya karibuni sana - na linapo kuja suala WebServers na Web Browser apps - Web Browser kwa mfano zimevumbuliwa ni juzi juzi tu in early 1990s by NetsCape. Unataka kusema watu walikuwa awasomi kutokana na kutokuwepo search engines?
Mmm,unazoongea wewe ni historia mkuu.Ndio zamani ilikuwa hivyo.Mkuu siku hizi kuna Electronic Journals,Books nk.Infact mambo ya hard materials ni kama yamepitwa na wakati sasa.Sasa kuna on line libraries nyingi sana...
Wakwanza mkuu Kama miez mitatu na wiki kadhaaSijajua ni uzao wa ngapi huo, una umri gani huo ujauzito ila mkienda hospitali Daktari atawasaidia na kuwapa njia salama ya kuweka kufika na kujifungua salama.
Usipuuze maumivu yoyote ya tumbo anapokuambia mkeo, Take it serious,Nasisitiza,Nendeni hospitali Mtapata suluhu pale na mama atakua na amani tena.
DeceptionMada kama hizi ndipo ninapomkubali DECEPTION kuhusu dhana ya ukimwi kama tumedanganywa. Haiwezekani baadhi ya magroup tunaambiwa kupata hiv ni siyo rahisi.
Naomba kujuzwa Nina group O negative wife O positive tuna mtto 1!Je wa pili inabidi tukawaone wataalam au Hanna shida hapo?
Suala kubwa ni kufanya mazoezi tu mbona mimi ni B+ na siumwi ovyo ovyoNashukuru mungu,, kwani nami nina aina ya kundi hilo LA damu, yaan O+. Ukweli nina muda mrfu kutokuwa na matatizo ya kiafya.
Mie ndio grupu langu ila mbona Malaria inanipiga mara kwa mara?[emoji52] [emoji52]
Kama tatizo ni mazoezi mbona kila siku nafanya mazoezi, kukimbia ya viungo na mazoezi mengine. Mazoezi sio sababu.Suala kubwa ni kufanya mazoezi tu mbona mimi ni B+ na siumwi ovyo ovyo
Umesoma comment vizuri lakini?Acha uongo ww mbna mm nina negative na nina watoto na mme ni postive usiwe mpotoshaj km huna uelewa na unachoongea, Elimu Elimu Elimu
Duniani hapa utajiri wa kwanza ni Afya njema. Kama upo sahihi basi ni mbaraka kuwa kwenye kundi hilo.inasemekana hili ndilo group la damu la watu 'vilaza' lakini ni very resistive kwa magonjwa mengi na waafrika wengi tunaangukia kwenye hili group
Mimi niliwahi kukaa na demu mwathirika bila kujua kwa miezi Saba na Nina group 0+ nilipima Mara tatu sina ngomaasanteni wana jamvi wote kwa ushauri mlionipa, kweli kuhusu kuumwa mimi homa azinipati sana, huwa nakaa sana bila ya kuumwa chochote, ila kwa hilo la kutoambukizwa "MDUDU WA KARNE" HIV eti kwa sababu ya group 0+ hilo suala mimi siliafiki maana hawa wadudu hawapendagi ujinga, tuwe makini jamani.