Unakwenda Hospitalini unawaelezea hitaji lako, Kuna baadhi ya maabara zinatoa huduma hiyo au kwnye vituo vya kuchangia damu salama(Kabla ya kuchangia lazima upimwe)Ukitaka kupima blood group unafanyaje?
Kwa faida yetu sote nitaeleza kila group la damu:
Kwanza kuna Magroup 8 ya damu nayo ni: A+, O+, B+, AB+, A-, O-, B-, AB-
(1) GROUP A+
Anauwezo wa kutoa damu kwa mtu mwenye: A+ na AB+
Anauwezo wa kupokea damu kwa mtu mwenye: A+, A-, O+ na O-
(2) GROUP O+
Anauwezo wa kutoa damu kwa mtu mwenye: O+, A+, B+ na AB+
Anauwezo wa kupokea damu kwa mtu mwenye: O+ na O-
(3) GROUP B+
Anauwezo wa kutoa damu kwa mtu mwenye: B+ na AB+
Anauwezo wa kupokea damu kwa mtu mwenye: B+, B-, O+ na O-
(4) GROUP AB+
Anauwezo wa kutoa damu kwa mtu mwenye: AB+ TU
Anauwezo wa kupokea damu kwa mtu mwenye: KWA KUNDI LOLOTE
(5) GROUP A-
Anauwezo wa kutoa damu kwa mtu mwenye: A+, A-, AB+ na AB-
Anauwezo wa kupokea damu kwa mtu mwenye: A- na O-
(6) GROUP O-
Anauwezo wa kutoa damu kwa mtu mwenye: KWA KUNDI LOLOTE
Anauwezo wa kupokea damu kwa mtu mwenye: O- TU
(7) GROUP B-
Anauwezo wa kutoa damu kwa mtu mwenye: B+, B-, AB+ na AB-
Anauwezo wa kupokea damu kwa mtu mwenye: B- na O-
(8) GROUP AB-
Anauwezo wa kutoa damu kwa mtu mwenye: AB+ na AB-
Anauwezo wa kupokea damu kwa mtu mwenye: AB-, A-, B- na O-
Hii ni kwa mujibu ya mitandao ya afya.
Kwa ishu ya RH+ na RH- (RHESUS FACTOR) naona mdau Helcobacter Pylori kalielezea vizuri sana kwa lugha rahisi kueleweka.
NOTE: MITANDAO YA JAMII IKITUMIKA VIZURI NI MSAADA MKUBWA SANA KWA JAMII
2006 hadi Leo sijaumwa malaria, ni mafua tu na kikohozi Mara moja mojaMara ya mwisho kwangu kusumbuliwa na malaria ilikuwa mwaka 2010, miaka mingine nimesumbuliwa sana na magonjwa yanayohusu tumbo tu. Mimi nina O+ pia.
Mkuu mi nna hilo Group la O- nna demu napiga il hamna kitu mkuu hebu nitolee ufafanuzi mzuri juu ya grup hii bossungekuwa na 0-RH ukampata demu mwenye hilo hilo group hamuezi kuzaa hata mfanyaje.labda kwa maombi
Ingia google mkuu utapata taarifa zote.Ni vizuri wakati mwingine kusumbua akili yako kidogo.Do not let it sit idle.We have such a powerful tool.Nimepima leo group la damu yangu, nina group 0+ Rh,
Nini faida ya hili group na hasara zake, na je naweza kumpa damu mtu wa group gani?
Nitashukuru nikisaidiwa mawazo, asante.
umepaniki ama?Acha uongo ww mbna mm nina negative na nina watoto na mme ni postive usiwe mpotoshaj km huna uelewa na unachoongea, Elimu Elimu Elimu
Ni kweli kabisa watu wenge group sawa wanapata watoto jinsia moja. Mfano juzi katu nilienda kupima group langu nilitaka kujua tu maana mm sijawahi kuumwa mpaka sikumbuki mwisho kupata mafua ni lini.MIMI NINA 0+ NA MKE WANGU ANA A+ VE. INAKUWAJE HAPA, LAKINI MPAKA SASA HV TUMEJAALIWA KUPATA WATOTO WA 3 WOTE WA KIKE? JE NI SABABU YA KUPATA WATOTO WA KIKE PEKE YAKE?? msaada.
Ahaaaaa wewe kuishi Lumumba fc ni nadra sanaMimi group langu ni AB +Rh huwa siumwi hovyo kwa kweli. Ila Nina allergy na Vitu vya KIJANI tu.
Ndugu yangu wewe mwenye O+ utakua unapendwa sana kung'atwa na mbu...wewe jaribu siku moja ukae mahali penye mbu na mtu mwenye damu group tofauti...mbu watakushambulia wewe zaidi...[/QUO
Hii ina ukweli japo nimejaribu kutafuta scientific reasons sijapata.Kwani kuwe uhusiano kati ya Mbu kupenda watu wenye group O?
Ni kweli kabisa watu wenge group sawa wanapata watoto jinsia moja. Mfano juzi katu nilienda kupima group langu nilitaka kujua tu maana mm sijawahi kuumwa mpaka sikumbuki mwisho kupata mafua ni lini.
Sasa Dr yeye alinambia kuwa yeye na Mme wake wana 0+ na wamebahatika kupata watoto watatu wote wa kiume.
Dada yangu na mme ni O+ kazaa watoto wakike wote . si mnajua watu wanavyopenda watoto wa kiume Dada kaanza kuangaika kila kona Mme kaanza umalaya anatafta wa kiume na huko njee kapata wa kike basi katika uliza uliza tukaambiwa mama mkubwa anatoa dawa ya kubadilisha uzazi na wakatuambia ni wangapi wamepata dawa zake na kufanikiwa basi tukaenda uko kwa mama mkubwa. Tulivyo mwambia alisikitika sana akasema yaani nimetibu watu zaidi ya mia mwanangu hukusema ndio kumwambia tulikuwa hatujui.
Basi kamwambia nenda mwezi ujao usipoingia period njoo. Kweli akaenda mwezi wa uliofata period akapata , mwezi uliofata tena hakupata basi akaenda kupima akakuta ana mimba akarudi kwa mama mkubwa akampa dawa akanywa bila hata shemeji kujua ikawa siri yetu.
Ilivyofika miezi 5 tukaenda akapima utra sound Dr katuambia ni wa kiume yaan Dada alizimia kwa furaha alipima hospital kama NNE anaambiwa ni wa kiume. Basi mimba ikakuwa na akajufungua wa kiume yaani furaha iliyopotea imerudi kwa kasi kwa sasa mtoto wao ana mwaka.
Labda kama ma Dr wana majibu watueleze
¤Group O+ ni group ambayo ni common kwa watu wengi zaidiNimepima leo group la damu yangu, nina group 0+ Rh,
Nini faida ya hili group na hasara zake, na je naweza kumpa damu mtu wa group gani?
Nitashukuru nikisaidiwa mawazo, asante.
Kajarib kupima na ngomaMie ndio grupu langu ila mbona Malaria inanipiga mara kwa mara?[emoji52] [emoji52]
Kwani umeambiwa hawapati kabisa UKIMWI?Waongo nyie.....ajitokeze mmoja sasa mwenye +ve tumpe demu kwenye HIV +ve aipige mbichi....harafu tumsikilizie ...tuone kama hata anza kula minjingu(aRVs)....subutu na O+ve yako......sumu haijalibiwi kwa kuionja bhana
Aisee hao mbu wanapenda nn aisee ilhal damu ni Ile Ile.Ndugu yangu wewe mwenye O+ utakua unapendwa sana kung'atwa na mbu...wewe jaribu siku moja ukae mahali penye mbu na mtu mwenye damu group tofauti...mbu watakushambulia wewe zaidi...
Ila mkuu me na girl wangu me Nina 0+ nayeye 0- ila tumezaa ila kabla yahuyu mtoto kuna mimba iliharibika kabla, hapo inakuwaje mkuuHao wana zaa bila shida mkuu,maana mwili hauta-respond kuhusu new baby katika mwili wa mama.