Hujaelewa somo, mke akiwa - ve na mme naye -ve ndio tatizo. Sasa wewe - ve na mmeo + ve huoni kama Kuna tofauti kwenye Rh factor?? Group O hasa +ve ndio kindi la damu lililo ngangari kwa kujikinga na magonjwa na hata vvu hufanya kazi ya ziada kushambulia kundi hili. Mtu mwenye group hili akipata vvu havimsumbui na akikuambukiza mwenye group jingine kama A, B au AB lazima muondoke ila yeye atakuwepo. Mara nyingi hawa huwa hujulikana kama carrier
Lakini wanasema ni vizuri kuugua hasa ukiwa mtoto ili kujenga kinga ya magonjwa maana huwa miili yetu inavamiwana vijiini vya magonjwa everyday everytime but inachotokea ni kuwa kila foreign substance inapogunduliwa na wale askari wanafanya patrol kwenye miili yetu basi hupeleka taarifa katika memory cell kwa ajili ya utambuzi.Kama hujawahi kuvamiwa na aina hiyo ya kijimelea kumbukumbu zake hazitakuwepo hivyo utaugua tu na mara nyingine ugonjwa unaweza ukaja in a very serious case kiasi kwamba ndo inakuwa "KULE MBINGUNI! NI MAKAO MAZURI SANA,KULE MBINGUNI..."
Katika ulinzi wa mwili,hakuna tofauti na jinsi taasisi za ilinzi zilivyo hasa haya ya nje like Polisi,jeshi,CIA, n.k the more you angange in the battle,the more you get experience.
Mkuu Je 0+ na 0+ wanaweza produce bila tatizo???Ni kurekebishe kidogo hapo mkuu, Kama huyu bwana angekua Rh+ve na mkewe akawa Rh-ve ingekua nivi.
Mtoto wa kwanza angezaliwa salama ila mimba ambazo zingefuatia zisingeweza kukua, zingeharibika (Misscariage)
hii ni kwakua Huyu mama(Rh -ve) anakua ameshatengeneza kinga za mwili(Antibodies(Ab)) dhidi ya Rh+ve Baada ya ujauzito wa kwanza.
kwakua mtoto anayepatikana kutoka makundi haya ya damu huwa Rh+ve, basi mwili wa mama humtambua kama "Hatari"(Foreign body) kwahiyo basi Rh-ve Ab huvuka uzuio unamtenganisha mama kwa mtoto na kwenda kumshambulia Chembe hai nyekundu za damu za mtoto, hili shambulizi husababisha Upungufu wa damu kwa mtoto (Haemolytic anaemia) ambcho hupelekea kifo chake.
Matatizo kama haya uherekebishika hatua za haraka zitafanyika.
HOSPITALINI.
Mama hupewa Rh immunoglobulin (RhIg) hi kinga dhidi ya Rh-ve Ab anazozizalisha, kinga hii hutolewa katika Hali zifuatazo
masaa 72 baada ya kujifungua
juma la 28 la Ujauzito
baada ya mimba kuharibika, kutoka ama kutungia nje ya mfuko.
Hao wana zaa bila shida mkuu,maana mwili hauta-respond kuhusu new baby katika mwili wa mama.Mkuu Je 0+ na 0+ wanaweza produce bila tatizo???
Swaaaaaf mkuu notedHao wana zaa bila shida mkuu,maana mwili hauta-respond kuhusu new baby katika mwili wa mama.
Ni kurekebishe kidogo hapo mkuu, Kama huyu bwana angekua Rh+ve na mkewe akawa Rh-ve ingekua nivi.
Mtoto wa kwanza angezaliwa salama ila mimba ambazo zingefuatia zisingeweza kukua, zingeharibika (Misscariage)
hii ni kwakua Huyu mama(Rh -ve) anakua ameshatengeneza kinga za mwili(Antibodies(Ab)) dhidi ya Rh+ve Baada ya ujauzito wa kwanza.
kwakua mtoto anayepatikana kutoka makundi haya ya damu huwa Rh+ve, basi mwili wa mama humtambua kama "Hatari"(Foreign body) kwahiyo basi Rh-ve Ab huvuka uzuio unamtenganisha mama kwa mtoto na kwenda kumshambulia Chembe hai nyekundu za damu za mtoto, hili shambulizi husababisha Upungufu wa damu kwa mtoto (Haemolytic anaemia) ambcho hupelekea kifo chake.
Matatizo kama haya uherekebishika hatua za haraka zitafanyika.
HOSPITALINI.
Mama hupewa Rh immunoglobulin (RhIg) hi kinga dhidi ya Rh-ve Ab anazozizalisha, kinga hii hutolewa katika Hali zifuatazo
masaa 72 baada ya kujifungua
juma la 28 la Ujauzito
baada ya mimba kuharibika, kutoka ama kutungia nje ya mfuko.
Mh kunakitu kimegundua leo asante sana mkuu kwa kunipangusa tongo tongo ninamaswali mengi sana juu ya hichi ulichokieleza lakini nitajitahidi nifike kwa wataalam niongee nao ana kwa ana barikiwa mkuu.Ni kurekebishe kidogo hapo mkuu, Kama huyu bwana angekua Rh+ve na mkewe akawa Rh-ve ingekua nivi.
Mtoto wa kwanza angezaliwa salama ila mimba ambazo zingefuatia zisingeweza kukua, zingeharibika (Misscariage)
hii ni kwakua Huyu mama(Rh -ve) anakua ameshatengeneza kinga za mwili(Antibodies(Ab)) dhidi ya Rh+ve Baada ya ujauzito wa kwanza.
kwakua mtoto anayepatikana kutoka makundi haya ya damu huwa Rh+ve, basi mwili wa mama humtambua kama "Hatari"(Foreign body) kwahiyo basi Rh-ve Ab huvuka uzuio unamtenganisha mama kwa mtoto na kwenda kumshambulia Chembe hai nyekundu za damu za mtoto, hili shambulizi husababisha Upungufu wa damu kwa mtoto (Haemolytic anaemia) ambcho hupelekea kifo chake.
Matatizo kama haya uherekebishika hatua za haraka zitafanyika.
HOSPITALINI.
Mama hupewa Rh immunoglobulin (RhIg) hi kinga dhidi ya Rh-ve Ab anazozizalisha, kinga hii hutolewa katika Hali zifuatazo
masaa 72 baada ya kujifungua
juma la 28 la Ujauzito
baada ya mimba kuharibika, kutoka ama kutungia nje ya mfuko.
HAKUNA KITU KAMA HICHO MKUUungekuwa na 0-RH ukampata demu mwenye hilo hilo group hamuezi kuzaa hata mfanyaje.labda kwa maombi
Hujamuele vzur rudia tena kusomaAcha uongo ww mbna mm nina negative na nina watoto na mme ni postive usiwe mpotoshaj km huna uelewa na unachoongea, Elimu Elimu Elimu
Asante sana mkuu. Napigilia msumali wazo lako la kufika kwa wataalamu.Mh kunakitu kimegundua leo asante sana mkuu kwa kunipangusa tongo tongo ninamaswali mengi sana juu ya hichi ulichokieleza lakini nitajitahidi nifike kwa wataalam niongee nao ana kwa ana barikiwa mkuu.
Tuko pamoja mkuu.Asante sana kwa somo.
Tuko pamoja mkuu.
Bila matatizo Kabisa. shida ipo kwa +ve na -ve, tena mama sharti awe -ve.Mkuu Je 0+ na 0+ wanaweza produce bila tatizo???
Thats trueYeah.
Lakini kumbuka pia memory za diseases zinakuwa coded katika DNA na watoto wanapokea mfumo huo huo. Una information kwenye DNA yako kutoka kwa ancestors wako. That's why kuna magonjwa hivi sasa miili inaona kawaida unlike before magonjwa yalipokuwa new.
Kuna watu wamerithi genome ambayo ni resistant kutoka katika genes za wazazi.
Anyway, sidhani kama Its a problem to me kama sijawahi kuumwa basi ndio nitaumwa. Wapo watu ambao ninekutana nao, wana similar situation na science inasema kuna watu hawawezi kupata malaria kutokana na genome.
The fact is, kuna watu malaria haiwasumbui. Hata research zimeonyesha kuna percent ya watu hawapati malaria maishani mfano wenye sickle cell, na genetic genome resistant.
Human genetic resistance to malaria - Wikipedia
Lipi zima sasa?Group bovu hilo
naweza kukuamini .nina O+ nisichopata ni typhoid,u.t.i,magonjwa ya zinaa na malaria lakini kama mafua napata,maumivu ya kichwa na macho kama kawaida.lakini si magonjwa yote hupati kama mtu haamini ni mbishi tu mkuuO- ndo ina kinga zaidi kuliko o+,na mwenye o- hashambuliwi na maradhi,mm Nina o neg sijawah kuugua homa yoyote tangu nizaliwe na sasa nakaribia 40,