The hammer
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 2,409
- 1,813
Tena huyo mtoto wa kwanza atakayezaliwa atakuwa amebeba lundo la matatizo ya kiafya.Mtoto wa kwanza angezaliwa salama
HOSPITALINI.
Mama hupewa Rh immunoglobulin (RhIg) hi kinga dhidi ya Rh-ve Ab anazozizalisha, kinga hii hutolewa katika Hali zifuatazo
masaa 72 baada ya kujifungua
juma la 28 la Ujauzito
baada ya mimba kuharibika, kutoka ama kutungia nje ya mfuko.
Pia mtoto anaweza kufanyiwa blood transfussion akiwa ndani ya womb but wanasema n gharama sana kama sijakosea.
Hiyo immunoglobin ndo sindano ya Ant-D?