Nina 40,000 Nifanye nini ifike 80,000 ndani ya siku 7

Salam Wakuu

Kama heading inavyojieleza, Nipo mkoani, Je ninawezaje kutumia fedha hi niliyonayo kufikia malengo yangu ndani ya muda tajwa?
France Win
England Win
Yanga Win

Siku 7 mbali, ikifika saa sita usiku tu 80 yako hii hapa bas chenji juu
 
Wanaopata pesa kwenye betting ni wachache sana kuliko wanaopjgwa kila siku.
Kuna jamaa amepoteza mil 400 katika madini na huyo sijui utamshauri aachane na madini?
Mwaka 2017 kuna mzee alilima hekari 80 za mpunga kilombero zikaja kusombwa na mafuriko, huyo mzee sijui utamshauri asifanye tena kilimo?
Maisha yetu tunaishi ni kamari tosha.
 
Mimi nimesema wapi watu wasicheze nina mamlaka gani ya kuwapangia watu wazima ambao siwajui maisha yao Mzee!

Ni bora hai wanaowekeza na kupoteza KWA vitu vinavyoonekana kiuhalisia na sio kumtajirisha Muhindi au Diamond......ukipoteza kwenye betting umemtajirisha mtu...na ukila sio kwamba amepata hasara. KWA mtazamo wangu na imani yangu betting haifai KWA maisha yetu hasa watu maskini.
 
Kwenye utafutaji wa kawaida unaouona ni halali,wote wanapataga pesa za uhakika?mbona masikini ni wengi sana
Masikini ni wengi sana kweli lakini sio matumaini ya kubet mechi yanaweza kubadilisha maisha ya mtu wangapi katika mtaa wako wamekuwa matajiri kwa bet, zaidi ni kuwafilisi masikini huku wakiwa na matumaini ya sio na uhalisia 500 ilete laki 4 au milioni.....mimi nakwambia mifano hai naiona mtu ana kaa ghetto anasuka mkeka wa 500 apate milioni halafu hapati kitu...kesho tena ana bet kama kawaida.. kweli?
 
Hii ni mimi mwenyewe nilipata kwa mtaji wa TSH 172 tu, na zingine ambazo sioni sababu za kukuonyesha, lakini pia nina kazi zangu zingine za kibiashara na ninafanya kazi pia kama ajira, Dunia imekua kijiji na yenye mambo mengi yasiyo pingika
Screenshot_20221206-104542_Chrome.jpg
 
Mimi nimesema wapi watu wasicheze nina mamlaka gani ya kuwapangia watu wazima ambao siwajui maisha yao Mzee!

Ni bora hai wanaowekeza na kupoteza KWA vitu vinavyoonekana kiuhalisia na sio kumtajirisha Muhindi au Diamond......ukipoteza kwenye betting umemtajirisha mtu...na ukila sio kwamba amepata hasara. KWA mtazamo wangu na imani yangu betting haifai KWA maisha yetu hasa watu maskini.
Betting ya kifara inaleta sonona hatari
 
Back
Top Bottom