Jirani yangu anatoka nje akiwa kavaa boksa tu (nguo ya ndani )

zipumbovu

Member
Nov 27, 2023
6
136
Habari wakuu, hapa sijui Mimi ndie mshamba au huyu jirani yangu ndie ana matatizo ya afya ya akili.

Tupo wapangaji wawili ndani ya fance, yeye ana upande wake na Mimi nina upande wangu, lakini wote tunashea gate Moja.

Mimi nipo na familia yangu ya mke na watoto wawili pamoja na ndugu Mmoja wa kiume ambae umri wake ni mdogo.

Mpangaji mwenzangu yeye pia yupo na mke wake, watoto pamoja na ndugu wengine wenye umri mdogo (dada wa kazi na mabint wa 3 wadogo)

Huyu mpangaji mwenzangu amekuwa na tabia ya kuzurura na boxa bila kuhofia watoto wadogo waliopo ndani, sio mala Moja Wala mala mbili hii imekuwa tabia yake ya kila siku

Kibaya zaidi kuna muda huwa anakuja hadi kwenye upande wangu, kumtafuta mtoto wake akiwa na boxa lake.

Nimejaribu kumtafakari lakini nimeshindwa kumuelewa, nyumbani kwake kuna watoto wadogo, kwangu pia kuna watoto wadogo yeye hana wasiwasi hata kidogo.

Nisije nikawa namfikiria vibaya, au pengine nikawa na mambo ya kikoloni.

Ninyi mnamtafsiri vipi huyu jamaa maana nimeanza kufikiria kuhama.

NB; Siwezi kutofautisha R na L
 
Habari wakuu, hapa sijui Mimi ndie mshamba au uyu jirani yangu ndie ana matatizo ya afya ya akili.

Tupo wapangaji wawili ndani ya fance, yeye ana upande wake na Mimi nina upande wangu, lakini wote tunashea gate Moja.

Mimi nipo na familia yangu ya mke na watoto wawili pamoja na ndugu Mmoja wa kiume ambae umri wake ni mdogo.

Mpangaji mwenzangu yeye pia yupo na mke wake, watoto pamoja na ndugu wengine wenye umri mdogo (dada wa kazi na mabint wa 3 wadogo)

Huyu mpangaji mwenzangu amekuwa na tabia ya kuzurula na boxa bila kuhofia watoto wadogo waliopo ndani, sio mala Moja Wala mala mbili hii imekuwa tabia yake ya kila siku

Kibaya zaidi kuna muda huwa anakuja hadi kwenye upande wangu, kumtafuta mtoto wake akiwa na boxa lake.. Nimejaribu kumtafakali lakini nimeshindwa kumuelewa, nyumbani kwake kuna watoto wadogo, kwangu pia kuna watoto wadogo yeye hana wasi wasi hata kidogo.

Nisije nikawa namfikilia vibaya, au pengine nikawa na mambo ya kikoroni..nyinyi munamtafsili vipi huyu jamaa maana nimeanza kufikilia kuhama.

NB; Siwezi kutofautisha R na L
Watakuja kusema eti ni mwanaume wa Dar wasijue ni majitu ya kuja ndiyo yana tabia hizo

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Habari wakuu, hapa sijui Mimi ndie mshamba au uyu jirani yangu ndie ana matatizo ya afya ya akili.

Tupo wapangaji wawili ndani ya fance, yeye ana upande wake na Mimi nina upande wangu, lakini wote tunashea gate Moja.

Mimi nipo na familia yangu ya mke na watoto wawili pamoja na ndugu Mmoja wa kiume ambae umri wake ni mdogo.

Mpangaji mwenzangu yeye pia yupo na mke wake, watoto pamoja na ndugu wengine wenye umri mdogo (dada wa kazi na mabint wa 3 wadogo)

Huyu mpangaji mwenzangu amekuwa na tabia ya kuzurula na boxa bila kuhofia watoto wadogo waliopo ndani, sio mala Moja Wala mala mbili hii imekuwa tabia yake ya kila siku

Kibaya zaidi kuna muda huwa anakuja hadi kwenye upande wangu, kumtafuta mtoto wake akiwa na boxa lake.. Nimejaribu kumtafakali lakini nimeshindwa kumuelewa, nyumbani kwake kuna watoto wadogo, kwangu pia kuna watoto wadogo yeye hana wasi wasi hata kidogo.

Nisije nikawa namfikilia vibaya, au pengine nikawa na mambo ya kikoroni..nyinyi munamtafsili vipi huyu jamaa maana nimeanza kufikilia kuhama.

NB; Siwezi kutofautisha R na L
Mmh mind your bussiness Dar cos

Mind your bussiness Dar ni mji cosmopolitan unakusanya kila aina ya watu,......sisi tuna jirani wetu anakula utumbo wasamaki, tuna mignore kwasbb ni mnyamawanga.
 
Habari wakuu, hapa sijui Mimi ndie mshamba au uyu jirani yangu ndie ana matatizo ya afya ya akili.

Tupo wapangaji wawili ndani ya fance, yeye ana upande wake na Mimi nina upande wangu, lakini wote tunashea gate Moja.

Mimi nipo na familia yangu ya mke na watoto wawili pamoja na ndugu Mmoja wa kiume ambae umri wake ni mdogo.

Mpangaji mwenzangu yeye pia yupo na mke wake, watoto pamoja na ndugu wengine wenye umri mdogo (dada wa kazi na mabint wa 3 wadogo)

Huyu mpangaji mwenzangu amekuwa na tabia ya kuzurula na boxa bila kuhofia watoto wadogo waliopo ndani, sio mala Moja Wala mala mbili hii imekuwa tabia yake ya kila siku

Kibaya zaidi kuna muda huwa anakuja hadi kwenye upande wangu, kumtafuta mtoto wake akiwa na boxa lake.. Nimejaribu kumtafakali lakini nimeshindwa kumuelewa, nyumbani kwake kuna watoto wadogo, kwangu pia kuna watoto wadogo yeye hana wasi wasi hata kidogo.

Nisije nikawa namfikilia vibaya, au pengine nikawa na mambo ya kikoroni..nyinyi munamtafsili vipi huyu jamaa maana nimeanza kufikilia kuhama.

NB; Siwezi kutofautisha R na L
Sasa boxer si ni pensi? Angekuwa anatembea na chupi pekee yake ingekuwa sio poa

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom