Nina 40,000 Nifanye nini ifike 80,000 ndani ya siku 7

Salam Wakuu

Kama heading inavyojieleza, Nipo mkoani, Je ninawezaje kutumia fedha hi niliyonayo kufikia malengo yangu ndani ya muda tajwa?
Sasa sikia chukua hiyo pesa weka bet pawa mpe USA, leo anashinda odd ni 4.7 unazidisha mara 40 utapata kama laki na masehemu hiv, yani utakua umevuka lengo
 
1.nunua jiko la mkaa-choma maindi jioni
2.kakodi banda (ulipe kwa siku) kisha uza matunda
3.azima brenda kwa jirani kanunue matunda kisha tengeneza juisi-utembeze
4.Kama Mkoa uliopo kuna shida ya maji kodisha mkokoteni kwa siku nadhani ni 2000 kisha kanunue madumu 6 ubebe maji upeleke penye uhitaji.
5.Kanunue mboga za majani tofauti tofauti kutoka kwa wakulima-ukauze sokoni.
6.Kalangue miwa kisha upange kwenye kijisenta uuze.
7.tengeneza mandazi ukauze kwenye shule za msingi na sekondari.
Ushauri mzuri sana....
 
Fanya kazi zinazo eleweka, acha kumshauri mwenzako ujinga. Pia acha kuwekeza pesa kwenye ujinga kama huo huko ni kupoteza muda na pesa. Aya huyo USA yuko wapi? Vijana mnapoteza nguvu nyingi kwenye ujinga
Sasa sikia chukua hiyo pesa weka bet pawa mpe USA, leo anashinda odd ni 4.7 unazidisha mara 40 utapata kama laki na masehemu hiv, yani utakua umevuka lengo
 
Ushauri wangu vijana tufanye biashara zenye uhalisia sio kubet
Kubet kumewapoteza kifikra watanzania wengi hadi watu wazima leo hii wanabet ni hasara KWA Taifa pesa inaenda KWA Muhindi anajenga na kusomesha kwao India....mtu anaweka jero anaitafuta laki 4 ni msiba wa KWA Taifa.
 
Bora kuna mnao ona hii hasara, kuna watu hata umwambie vipi wala hakuelewi wamesha kuwa addicted
 
Uza sabuni ya maji ya kufulia na chooni itaongezeka mara mbili.
 
Salam Wakuu

Kama heading inavyojieleza, Nipo mkoani, Je ninawezaje kutumia fedha hi niliyonayo kufikia malengo yangu ndani ya muda tajwa?
SWADAKTA! ITS POSSIBLE 10$ (24780TSH) JUST TAKE ADVANTAGE OF GAP STRATEGY ON SUNDAY MIDNIGTH,YOU CAN MAKE MORE THAN UR EXPECTATION 20$-60$
 
Kubet kumewapoteza kifikra watanzania wengi hadi watu wazima leo hii wanabet ni hasara KWA Taifa pesa inaenda KWA Muhindi anajenga na kusomesha kwao India....mtu anaweka jero anaitafuta laki 4 ni msiba wa KWA Taifa.
Mbona wapo ambao wanapata pesa nyingi kwenye Betting! Hilo utasemaje? au na lenyewe unalitengenezea maneno ya kifala ili uje uccoment upuuzi
 
Salam Wakuu

Kama heading inavyojieleza, Nipo mkoani, Je ninawezaje kutumia fedha hi niliyonayo kufikia malengo yangu ndani ya muda tajwa?
Leo weka 0-0 FT kati ya England na Senegal halafu 1-1 FT kati ya France na Poland
 
Attachments

  • Screenshot_20221204-142950.png
    Screenshot_20221204-142950.png
    38.6 KB · Views: 9
Back
Top Bottom